Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

Kwa elimu yako hiyo,jifunze kutengeneza simu unapiga sana hela.
Electronics Engineer na simu so mlemle.Ungemshauri ahishikize kwenye kijiwe kimoja aanze kununya troubleshooting tools za kisasa.
Kama alikuwa anategea practical chuon imekula kwake inabidi aanze upya Ku review troubleshooting tutorials.
 
Ushauri wangu kwako kijana mwenzangu usianze kutafuta maisha kwa kutrade forex kwa sababu forex jins ambayo unaunguza account ndivyo unavyojifunza zaid na ukiangalia ww unatrade ukiwa na lengo kuu la kupata faida tu na sio kujifunza hvyo huwez fanikiwa mapema kias hicho utabaki kuumia tu

Ushauri wangu tafuta mchongo mtaan wa kufanya hata kama ni kuchukua Malapa ya bei ndogo kwa wauzaji wa jumla then unauza minadani jinsi itavyokuwa kwny game ndio utavyozid pata mawazo zaidi mazur!!! Usikate tamaa koz hayo ndiyo maana halisi ya maisha ila anza kwa kutengeneza pesa kwa biashara ndogo ndogo ukiwa na biashara inayoeleweka sasa ndo trade forex hata ukiunguza account ngap but utakuwa na biashara yako yenye kuingiza chochote...

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unauza bar mtaa gani maana kuna dada anaelimu kama wewe na sifa yake hana shame na yeyote. yaani yeye ameingia front. wewe uko wapi nijue mkuu, location please.
 
Back
Top Bottom