Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,223
Kwanini Mkuu.Katika ya kitu unachofeli ni ku deal na hizo forex

Kwa mtu mwenye mtaji mdogo ina ujanja ujanja mwingi unaofanywa na brokers ambao abadani huwezi toboaKwanini Mkuu.
Kwahiyo haikushawishi kwasababu una mtaji mdogo.Kwa mtu mwenye mtaji mdogo ina ujanja ujanja mwingi unaofanywa na brokers ambao abadani huwezi toboa
Sio hainishawishi mimi uwe unaelewa weweKwahiyo haikushawishi kwasababu una mtaji mdogo.
Vizuri.Sio hainishawishi mimi uwe unaelewa wewe
Mimi namshauri huyo mleta uzi
naomba Mungu sana anipe afya niweze fanikisha hii kitu, pesa ipo halafu kila cku watoto wanazaliwa tena kwa kasi zaidDay care inalipa sana
Shost yangu anajenga ghorofa now asee
Hivi ukifungua kule kigamboni utapiga pesa sana?
KaribuHabari Mkuu Naweza Kukujua Vitu Kadhaa Kutoka Kwako How Unamove On Na Issue Ya Udalali?
Amina.naomba Mungu sana anipe afya niweze fanikisha hii kitu, pesa ipo halafu kila cku watoto wanazaliwa tena kwa kasi zaid
Kuna mshikaji nilimchoroea ramani za visiwani...aisee...unajua unaongea na mtu Hana mzuka wa kutoka dar...naye aliuliza maswali ambayo dah...!wewe Kama kweli mwanaume maswali naKama hayo utayakuta huko huko...Mie naamini hujapigikaasante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asante
Braza unanuaje movements za big movers? Yani hapa mzigo ushaanza kusepa ili na wewe huunge tela, and how long you stay in the market?Trust me and it's much easier to trade with them not against
Na ukijua umejua hutorudi nyuma tafuta skills mzee achana kelele za watu
Ukianza kitu usiishie njia huwezi fanikiwa kamwe asilani
Kaa mbali wakatisha tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Bar unaiuza sh ngp mkuu?Ingia mtaani mkuu, fanya chochote,
Mimi Nina elimu ya sheria lakini nauza Bar,
Halafu sioni Noma wala nini, hata wateja wangu wanalijua hilo.
Hata leo nikipata kazi mahakamani naacha hii kazi naingia mahakamani fresh kabisa.
Mmhhh sawaSijawai kufanya Forex ila nature ya uumbaji toka tuumbe.
"Kitu chenye manufaa/faida sanaa Mungu hakukiacha kiwe rahisi"
Chunguza kuanzia leo.
A very big secretBraza unanuaje movements za big movers? Yani hapa mzigo ushaanza kusepa ili na wewe huunge tela, and how long you stay in the market?
Kumbe ABSA ni Barclais Bank nilidhani bank mpya.A very big secret
Watakaojua ni wale wateule tu waliokomaa na hii kitu mwanzo mwisho ukiishia njia hutojua kamwe utaishia kulaumu na kutukana tu
Ukiweza ng'amua how big market movers wanaendesha soko FX Ni Kama a,e,I,o,u
Makert movers Ni Kama
CitiBANK
HSBC
JP MORGAN
GOLDMAN SACHS
ABSA (formerly BARCLAYS )
BANK OF AMERICA
pia Kuna hedge FUNDS Kama
Bridgewater associates
Reianassance technologies
Man group
Pia Kuna big corporation and other financial institution
Hawa ndio wanaendesha soko la FX ukienda kinyume nao utalipa tu
Hizo financial institution zinaaajiri watu wenye uwezo mkubwa katika hesabu, coding,na fedha huwezi trades against wao ukabaki salama utaituiana FX milele
So tafuteni elimu kwanza hii fan hakuna ujanja ujanja Kama MR KUKU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazigazi naomba nicheki wasap bro 0768246184.A very big secret

Kama no mraalamu zungikia site, waone wanaojenga uombe iazi moja kwa moja kwao.Tafuta mafundi wawe madali mega pasenti ule nao.Mafundi ndio habari ya mjini wanamtandao waoHabari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mhitimu wa Shahada ya Electrical & Electronics Engineering. Katika moja ya Chuo Kikuu hapa mjini Dar es Salaam kama ilivyo kawaida ya vijana wengi tukiwa vyuoni hujisahau kuwa kuna kumaliza masomo na kushindwa ku tafakari kukabiliana na maisha baada ya kumaliza chuo madhara yake ndio nayaona sasa.
Akili ilianza kuniijia nilipofika mwaka wa nne wa masomo yangu, nikawa ni mtu wakujiuliza sana inakuwaje nitaendesha maisha baada yakumaliza chuo na ukizingatia uchache wa ajira mtaani, nikawa mtu wa kujifariji muda wote nakusema nitafanya hata kazi ndogo ndogo za wiring installation maisha yataenda. Ilipofika August 2019 nilifanikisha kumaliza masomo yangu sasa hapo ndio ugumu wa maisha nikaanza kuuskilizia haswa haswa , nikiwa ghetto chakula kikaanza kuwa shida, madili yenyewe ya wiring installation yakawa machache kiasi kwamba kutegemea kunihudumia ikawa ngumu,
Nikawa ni mtu wa kuzunguka na barua za internship japo nipate hata hela ya kula tu, napo sikupata siku zikasogea mwenye nyumba nae anataka pesa yake hapo nakumbuka nimezidisha kama miezi mitatu , nilihisi kudata huku na kule nikakutana na mshkaji nikiwa nimesoma nae chuo course moja, akaanza kunipanga kuhusu forex kwa alivyonielezea tu nikajilaumu sana kuchelewa kuijua hii biashara nikauza vitu vyote ghetto kwa hasara nikapata kama 360tsh mwenye nyumba tukagawana nusu hasara nikampa 90tsh.
Mimi ni kati ya watu ambae nilikuwa na diss sana kukaa kwa ndugu ila nikasema siyo kesi kwakuwa nimeijua forex mwezi mmoja tu utanitosha kukusanya mkwanja wakupanga eneo zuri zaidi.
Bhasi kuanzia December nikaanza kukaa kwa ndugu na by January 2020 nikawa nimeingia rasmi kwenye ulimwengu wa FOREX kwa kile kiasi kilichobaki kutoka kwenye mauzo ya vitu vya ghetto ndio nikaanza nao kama mtaji na kujifunza kwa miezi nane mfululizo ni mimi na forex tu nikijipa matumaini nikiona baadhi ya wanufaikaji lakini kila nikijitahidi naishia kuchoma acc nakuanza upya tena kutafuta mtaji
Nimekuja kujitasmini toka January mpaka sasa August hakuna kitu nimefanya hata mia mbovu sina zaidi ya matumaini, Roho inauma sana sana nimefika point najihisi mfadhaiko moyoni, nanikifikiri nipo kwa ndugu umri unakimbia ndio nachanganyikiwa kabisa.
Naombeni mawazo yenu wandugu nianzie wapi ilihali sina mtaji.
Nakaribisha mawazo, maoni ,ushuhuda pia itapendeza Asante.
Habari wana JF,