Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

Ingia mtaani mkuu, fanya chochote,
Mimi Nina elimu ya sheria lakini nauza Bar,
Halafu sioni Noma wala nini, hata wateja wangu wanalijua hilo.
Hata leo nikipata kazi mahakamani naacha hii kazi naingia mahakamani fresh kabisa.
Seriously?
 
Kuna watu wanapigia debe sana Forex lakini mbona vilio ni vingi?

Nani ameshatoboa kupitia forex?
kwa mimi hapa dar nilie... proove kwa kiasi ni mshkaji anaitwa benwade,wengine nawaonea kwenye social media tu wapo wanaofanikiwa japo ni wachache sana
 
Hama Dar kuja ziwani, huku hakuna cha bure means ni lazima ufanye kazi upate pesa ya kujikimu kimaisha.

Kazi za ziwani hazihitaji certificate wala diploma bali ni nguvu zako.
asante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asante
 
asante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asante

Kazi zipo nyingi sana ni wewe tu..

Kuhusu kipato hapa hakuna kiwango maalumu coz hutegemeana na upatikanaji wa samaki. Sema kazi ni ngumu ila mwanaume unafanya tu na ukiacha bata unapata mtaji
 
Sleeping like you are competing with a dead man expecting to win in the of the living you will be buried definitely.

Amka mapema utajua cha kufanya na ipo siku utatoka tu.
 
usikate tamaa na weka aibu pemben, nilimalza chuo miaka mi5 iliyopita sina job natengeneza vitafunwa naenda kuuza shule, nashukuru nipanga huu uwe mwaka wa mwisho mwakan nafungua day care panapo majaaliwa
 
Usikate tamaa mkuu. Huo muda uliosema bado ni mchache kwa Forex. Niko kwenye game miaka 3 sasa na bado najifunza. Ku lose kupo na hata maGuru wana lose cha msingi ni mwisho wa siku upate profit zaidi ya loss uliyopata.

Kingine kikubwa zaidi, kuwa na journal yako utakayoandika trades zilizokubalina ambazo hazikubali na ulimessup wapi? (Je ni risk management? Wrong setup? Ulibuy wakati wa pullback? News interference....) document hivo vitu nauwe unavipitia ili usirudie makosa

Cha mwisho, develop your technique (yako mwenyewe kutokana na psychology yako). Watu tunatofautiana, mwingine anahold trade mwezi, mwingine wiki, mwingine lisaa li kubwa). So, develop your technique, jua setup ikiwa hivi naingia, isipokua na hiki siingii hata iweje...Usipokua na hizi formula mkuu nakwambia utakua unaingia kila trade blindly, kwenye ma group ya whatsapp na telegram mtu anasema Sell UJ, unazama, ukigeuka mwengine Buy GU unazama, Noo!!...Lazima uwe na rules zako mwenyewe, rules of trades zinazofanya kazi kutokana na ww ulivyo...

shida ni kwamba trader ukiwa na njaa unakosa discipline na hii game unatakiwa uimaste kwanza then uwe na discipline then hela zitakuja
 
usikate tamaa na weka aibu pemben, nilimalza chuo miaka mi5 iliyopita sina job natengeneza vitafunwa naenda kuuza shule, nashukuru nipanga huu uwe mwaka wa mwisho mwakan nafungua day care panapo majaaliwa
Day care inalipa sana

Shost yangu anajenga ghorofa now asee

Hivi ukifungua kule kigamboni utapiga pesa sana?
 
Back
Top Bottom