Nani mwenye dhambi? Nani mwenye dhawabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mwenye dhambi? Nani mwenye dhawabu?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nicas Mtei, Mar 8, 2012.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Askofu aliendesha harambee
  kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo
  wakatoa Tshs75,050 tu. Ghafla
  majambaz wakateka kanisa na
  kuamrisha kila mtu atoe alichonacho!
  Wakakusanya Tshs 8,945,800 kisha majambazi wakamkabidh askofu fedha
  hizo zote ili aendeleze ujenzi. Je
  majambazi wana dhambi au wakristo
  wanathawabu? Toa maoni yako.
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ndiye anaweza hukumu sio sisi lkn hilo ni fundisho kwa wote wabahiri!
   
 3. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahaha kumbe pesa walikuwa nazo.
   
 4. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  kuna makosa hapo sio dhambi
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !
   
 6. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Mandhar uliyotoa inachekesha na kusikitisha..Wakristo, kwa hiari yao walitoa kulingana na uwezo wao. Majambazi walipoingia, uhuru na hiari ya wakristo vilitoweka. Ingawa fedha walizokusanya majambazi zilikabidhiwa kwa kiongozi wa dini, fedha hiyo ilikusanywa kimakosa. Kwa majambazi ni dhambi juu na wakristo ni poa.
   
 7. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wema usiyd uwezo,wakristu wana thawab,walitoa kwa moyo na kukumbuka kesho yao
   
 8. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo kosa lipo kwa majambazi, katika kuchangia ni sadaka na sadaka kwa mujibu wa Imani yangu hutakiwi kuitoa kwa kulazimishwa wala kujilazimisha bali unaweza kutoa chochote ulichonacho bila ya kuangaliwa uwezo wa mtu tofauti na zakat ambayo hutolewa kwa kiwango maalum kulingana na mali mtu aliyokua nayo.
   
 9. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toa uwezo wako
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wamebakiza za ulabu, naona siku hiyo vilabu vya pombe vilikopesha pombe yote
   
 11. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hao hawakuwa majambazi watakuwa maaskofu wa kisasa hao! maana sifa za majambazi sio hizi, jambazi ni chukua ukibisha chinja ua tupa kule na hampati kitu
   
Loading...