you like avatars, and u dont have one?
Hujakosea kabisaaa.... Angalia avatar ya Eiyer....inafanana kabisa na vile anaandika
kuna mwengine kaweka avatar ya bush anatupiwa kiatu
mbona hakuna anaezungumzia yangu?
Hahahahah mkwe na wewe umetisha na hiyo avatar
Aroooo ......
Kweri eeehh ......lol!
Mzima lakini bibie?
Hebu ninong'oneze aisee,vinafananaje?
Mi mzima sana tu.....we unavionaje kwani? Wakati mwingine huwa najiuliza kuwa hii ni picha yako halisi ama...?
Mi mbona naona kama hata havifanani?
Labda nikuulize....hiyo avatar yako wewe waionaje?
Sasa naionaje kiaje bana?
Hebu fafanua kile ambacho unataka kujua!
Hahahah....yani ukauzu ulioko kwenye avatar ndo huo upo hadi kwenye maandishi....hivi huwa unacheka wewe kweli?
Mimi wala hata sio kauzu ila huwa napenda kuwa sirizi wakati mwingine
Kucheka nacheka sana na napenda masikhara wakati mwingi
Unaniogopa?