Nani mwenye avatar kali na matata hapa jf?

Nani mwenye avatar kali na matata hapa jf?

AVARTARS za humu jf nyingi ni nzuri na za kibunifu zaidi heko ziwaendee wote wanaozithamini na kujua thamani yake ngoja na na mimi nifanyefanye kuweka yangu ili mada niliyoanzisha ipate mashiko.Na niendelee kuwashukuru wote walioelewa kwani kusema la ukweli huwa inatia faraja sana na kuongeza nguvu kwa mhusika kuona alaa kumbe nimeeleweka!
NDAGA FIJO NA MALORI NA MAPIKIPIKI!
 
Back
Top Bottom