Nani mwenye avatar kali na matata hapa jf?

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Heloooooo!
Ni matumaini yangu kwamba mu wazima wa AFYA TELE!'BASI NIWAPONGEZE KWA hilo japo najua changamoto zipo nyingi lakini yote maisha tu!
Sasa wandugu naombeni tufanye kitu kimoja hapa ni ukweli usiopingika kwamba AVATAR za wengi wetu zinavutia na nyingi zina ujumbe flan na sometimes unaweza kuta mtu anasoma ujumbe akitupia jicho kwenye AVATAR kuna kitu pale kinaongezeka mfano kuna huyu VIBARAR kama sijakosea Avatar yake kuna sufulia na kuku asiyechinjwa yupo jikon then mwanaume ameshika kipawa anaonja mchuziiii something which is very very interesting and wonderful.MWINGINE Avatar yake eti FRIDGE ipo wazi jamaa kaingiza mto chini kama godoro kichwa kwenye frige na kalala usingizi mzito iyo ni picha halisi...mimi nikaenda mbali zaidi na kumpm kulikoni namna ile akajibu ni yeye alikuwa anasikia joto so that is his AVATAR.
Sasa je wewe binafsi ni AVATAR ya nani inakuvutia na kwa nini,SEMA NAMI ili na wengine waichungulie na kuburudika
kwa sababu licha ya kwamba nI picha tu lakini huwa kuna ujumbe na mara nyingi wa kujifunza jambo au tu kufurahisha au mwingine anaweka picha ya mtu anayevutiwa nae.MI SIJAWEKA ila SOON nitaweka kali na kwa kumalizia AVATAR ninayoipenda hata nikiiona hata kama nina STRESS ni AVATAR Ya BAK. I just like the way it is.
 
Nenda shule dogo
 
Duh,alafu mara nyingi avatar ya mtu na anachopost ni mulemule,mwangalie Boss,Nyani Ngabu,mwangalie Matumbo,yani burudani tu
 
Miongoni mwa post za kipuuzi kuwahi kutokea hapa jf.

unajua kwa nini hujawai pata hata likes 1 NI KWA SABABU wewe hujawai andika kitu chochote cha kumfanya awae yoyote aseme KUNA POINT kweli coz you are ZERO BRAIN!........!halafu kama topic yangu imekukera umeifungua ya nini sometimes najiuliza watu kama ninyi kama mlikosewa kuletwa katika sayari hii.....ungetupwa kule sijui JUPITER!
 
Duh,alafu mara nyingi avatar ya mtu na anachopost ni mulemule,mwangalie Boss,Nyani Ngabu,mwangalie Matumbo,yani burudani tu

Yaani ni burdani sana nimeziona mkuu!
 
rekebisha kichwa cha uzi then thnk as a great thnker
 
Nenda shule dogo

MI naweza kukuzaa wewe hata mara tatu! halafu shule unayojisifia wewe ile uliyoresit mara 5?SOMA KWA MAKINI UTAELEWA ACHA UJINGA!
 
unajua kwa nini hujawai pata hata likes 1 NI KWA SABABU wewe hujawai andika kitu chochote cha kumfanya awae yoyote aseme KUNA POINT kweli coz you are ZERO BRAIN!........!halafu kama topic yangu imekukera umeifungua ya nini sometimes najiuliza watu kama ninyi kama mlikosewa kuletwa katika sayari hii.....ungetupwa kule sijui JUPITER!

umepost pumba dogo,, subiri daku ulale.
 
Nimependa personality yako.hauvunjwi moyo.big up

Nivunjwe moyo na watu wasioelewa?....fanya utfiti hapa JF kuna watu wamekaa kusubilia mtu apost kitu chochote then amsimange au kumkera na mimi si mgeni wa mambo haya na wanaofanya ivyo mara nyingi wana STRESS za mapenzi wamekimbiwa au kuachwa!...sasa wapi pa kutolea hasira ZAO ndo unakuta hata kitu cha kawaida au cha burdani kama ivi mtu anakasirika sijui niite ujinga au hutokuelewa TOPIC INASEMAJE.
SASA ukiangalia hapa JFtopic zipo ngapi ni lazima zote ziwe na mlengo mmoja...sasa avatar unayoipenda mtuna mtu kwenda shule vimekujaje kweli kuna MBULULAAAAAZ WENGI....huwezi amini wengi wenye mioyo midogo ya kushindwa kuhimili mikikimiki huwa waliacha kupost chochote hapa mana hata mtu apost nini mtu atatafuta tu sababu ya kumkatisha tamaa mtu I WONDER kama hii Jf ingekuwa ni ya BABA zao ingekuwaje....wala hawaelewi mana ya neno forums!...So kikubwa hapa mimi ilimradi nimeandika mawazo yangu kama ilivyo ada na sijamtukana mtu ALIYEGUSWA kwa hisia zake mbaya kwa jili ya mambo yaliyompata huko POLE YAKE!!
 
umepost pumba dogo,, subiri daku ulale.
Haaaaaaaaaaa aaaaah kumbe na wewe unaisubiri daku ili ulale?aaaaaaaaaaaaaah!mbululazzzzzzzzzzz!!
 
unajua kwa nini hujawai pata hata likes 1 NI KWA SABABU wewe hujawai andika kitu chochote cha kumfanya awae yoyote aseme KUNA POINT kweli coz you are ZERO BRAIN!........!halafu kama topic yangu imekukera umeifungua ya nini sometimes najiuliza watu kama ninyi kama mlikosewa kuletwa katika sayari hii.....ungetupwa kule sijui JUPITER!

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Leo unataka tujadili avatar za watu,kesho utataka tujadili id's
.!
Bado nasisitiza,hii ni miongoni mwa post za kijinga sana kuwahi kutokea hapa jf.
 
kuna mwengine kaweka avatar ya bush anatupiwa kiatu
 
Back
Top Bottom