K KakaNanii JF-Expert Member Sep 28, 2008 325 52 Nov 12, 2011 #1 Nani mrembo zaidi katika hawa ? Attachments 4.jpg 64.3 KB · Views: 1,104
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,319 33,125 Nov 12, 2011 #4 Hakuna hata mmoja Mzuri wote karibu wana fanana tu
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,009 Nov 12, 2011 #6 Kuanzia huyu wa mbele kabisa aliyejishika kiuno kwa mikono yote miwili mie nimewaona namba tatu katika mstari namba saba na wawili wa mwisho.
Kuanzia huyu wa mbele kabisa aliyejishika kiuno kwa mikono yote miwili mie nimewaona namba tatu katika mstari namba saba na wawili wa mwisho.
Evarm JF-Expert Member Aug 30, 2010 1,934 1,400 Nov 12, 2011 #8 mmmmmh! Hakunaga cha ajabu...........
Dumelambegu JF-Expert Member Jan 28, 2011 1,052 257 Nov 13, 2011 #13 Kwa akina yakhe tunaopenda matwipatipwa hapo hakuna kitu.
njiwa JF-Expert Member Apr 16, 2009 12,368 5,512 Nov 13, 2011 #15 mamanalia said: nani bikira kati yao? Click to expand... hehehe... mkuu kwanini unauliza hili swali
FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 92,881 109,188 Nov 13, 2011 #18 Hao wote ni Wahindi weusi? wana nywele za Kihindi, au si zao?
THINKINGBEING JF-Expert Member Aug 9, 2010 2,779 1,304 Nov 13, 2011 #20 Hivi yule miss Tanzania mwenye laana za mv.spice alikuwa wangapi kwenye miss world?