tatizo bwana warembo wetu yani wengi ni vilaza kweli yani..! wanakua wanashindwa na mambo madogo madogo sana hata tukiwa tunaenda kwenye mashindano ya dunia yani hua inakuaga ni aibu kinyama yani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.