Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,742
- 110,575
- Thread starter
- #21
Ungeambiwa uchague uwe malaika au binadamu ungechagua kuwa nani?Kwa Mujibu wa Uislamu Mwanadamu akifanya matendo mema na kuacha kumuasi Allah anakua bora kuliko malaika bcz Mwanadamu amepewa matamanio ila akaweza kuyahimili matamanio yake na kutofanya maasi basi Mwanadamu hapo hua bora kuliko Malaika ambae yeye hana matamanio ila kazi yake kubwa ni kumuabudu Muumba tu