Kwangu kennyKuna mmoja zaidi hapo!
Mkuuu don william hana gospel music. . Ume mfananisha na don em....Don Williams!. Amanda, It must be love, Where the Arkansas river, ... a long list!. It is Don Williams, the king of Country Music!. Unajua tena sisi wazee wa kale wenzake ingawa yeye ni mdogo kidogo kwangu, lakini ukweli, hata niwe katika hali gani, nikisikia nyimbo yake, kila kitu kinakaa sawa. Hasa Gospel songs zake!.
Butcher haimbii country music. ..Alan Jackson? Juddy Butcher?
Country tamu sana.
Kuna ngoma ya dolly parton ya doreen naikubari sana anajua sana yule mwana mamaKuna zile alizoimba na dolly parton