Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Sawa, nae aliucopy kwa Dolly Parton, eenh turudi kwenye mada nani mkali kati ya Kenny na Don.
Hao jamaa huwa nashindwa kuchaguaa nani mkalii.. Mwanzon nilikuwa namwona kenny mkali enz hizo sijui nyimbo hata moja ya don... baada ya kupata nyimbo za don. . Kumsikiliza dahh wote ni 50% to 50%..
 
The gambler
Loving arms
Lucille
Coward of the county
I will remember
Oh! My Love
She believes in me

VS

We should be together
We've got love
I've been loved by the best
It's good to see you
Say it again
Lord i hope this day is good
Amanda
Turn out light/Love me tonight...

Daah huu mpambano aiseee ni wa kukata na mundu.....nakubali sana vocal ya Keny ila Don kwa mistari tu ni habari nyingine.....kashanipa madem wawili huyu don kupitia "we should be together" na "say it again".......

Ila keny ndo kanifanya nisikilize country na kuzipenda kupitia ngoma yake ya "coward of the county" Nani zaid? Wote zaidi!!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
The gambler
Loving arms
Lucille
Coward of the county
I will remember
Oh! My Love
She believes in me

VS

We should be together
We've got love
I've been loved by the best
It's good to see you
Say it again
Lord i hope this day is good
Amanda
Turn out light/Love me tonight...

Daah huu mpambano aiseee ni wa kukata na mundu.....nakubali sana vocal ya Keny ila Don kwa mistari tu ni habari nyingine.....kashanipa madem wawili huyu don kupitia "we should be together" na "say it again".......

Ila keny ndo kanifanya nisikilize country na kuzipenda kupitia ngoma yake ya "coward of the county" Nani zaid? Wote zaidi!!!

We have got tonight
Vs
You're my best friend!
Kweli aisee ndio maana nikaamua kuuleta mpambano huu humu jf!
 
Mbona huo wimbo umeimbwa na wanamzik wengi tu... I will always love you.. sema the origin sijui nani kaimbaaa.
"I Will Always Love You" is a song written in 1973 and originally recorded by American singer-songwriter Dolly Parton. Her country version of the track was released as a single in 1974. It was written for her one-time partner and mentor Porter Wagoner, as a farewell since they were professionally parting career paths as Parton had chosen to pursue a solo career.

Parton's version of "I Will Always Love You" attained commercial success, twice reaching number one on the Billboard Hot Country Songs chart. First, in June 1974 and again in 1982 when her re-recording of the song also reached number one October of that year. With that accomplishment, Parton became the first artist ever to earn a number one record twice with the same song.
 
Back
Top Bottom