Rayvany kipaji kikubwa kakitoa wapi? Uongo Mwingine muachange, Msanii kakaa ki underground miaka yote,Wote nawakubali ila Rayvanny ana kipaji kikubwa Sana compared na harmonize ana sauti nzuri Sana ya kuimba, anajua kuchana lakini pia mkali on stage.
Hater.Rayvany kipaji kikubwa kakitoa wapi? Uongo Mwingine muachange, Msanii kakaa ki underground miaka yote,
Huyo Rayvany anabebwa na hako Kalebo Uchwara Ka WCB
Rayvanny the ONLY BET WINNER IN TANZANIAata boss wao hamfikii harmonize ...acha kulinganisha uchafu na jeshi ...umetunwa na wcb ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda domo lako ila sio king of bongofreva CHIBU BABA YAKO EBOOOOOH
Umeelewa swali kweli...?Rayvany muajiriwa harmonise kajiajiri.....jijibu
Hao wote wameajiriwa,the boss(aliyejiajiri) ni huyu mwana pekee.