Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Mwigulu aliteuliwa Mahiga bado anashushwa kaburini . Hakuna la ajabu huko .Subirini azikwe hata huruma ya kinafki hakuna?
Mwigulu aliteuliwa Mahiga bado anashushwa kaburini . Hakuna la ajabu huko .Subirini azikwe hata huruma ya kinafki hakuna?
Mkuu umestarabika kweli au unataka tubishane tu..Mbona mama aliapishwa kabla ya shujaa kuzikwa
Basi atateuli mjeda yoyote kuwa mbunge wa kuteuliwa na atapewa wizara...Wizara pekee isiyokuwa na Naibu.Ile wizara ni kivuli tu cha kuhakikisha bajeti yao haiendi kwenye kampeni
MakondaBasi atateuli mjeda yoyote kuwa mbunge wa kuteuliwa na atapewa wizara...
Huwezi kuwa serious 🙌😂Makonda
Hapana kabisa. Huyu jamaa ananata kinyamaJanuary makamba
WeweKifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.
Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.
1.Mtu mwenye hofu ya Mungu.
2.Mtu mwaminifu Sana kwa rais
3.mzalendo wa ukweli
4.mpore asiye na makeke na mdomo kasuku
5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga
6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa
7. Asiyekuwa na matabaka
8. Asiyekuwa na kibri
9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga
10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.
Wanaotajwa kuziba nafasi hii
1 . Shamsi Vuai Nahodha
2. January Makamba
3. Seleman Jafo
Je, wewe unadhani wanafaa?
USSR
Hawawezi kumpa. Sukuma gang hawatakiwi kabisa na awamu hiiMakonda
Bangi ni mbaya sana.Babu Tale
Hafai hata kidogoHiyo nafasi anapewa NAPE Nnauye, anafaa sana
Hata akifa rais lazima mambo ya nchi yaende ndyo maana Samia chap akachukua usukaniUkiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Too bad hakuwa na scandals..katika siasa hutakiwi kuwa clean Sana.Kwandikwa alikua kijana muungwana sana..Sijui nini kimempata...
Bashiru vipi!?Hapo kwa Kasheku naunga mkono, au kama VP wampe Polepole
1.MwiguluKifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.
Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.
1. Mtu mwenye hofu ya Mungu.
2. Mtu mwaminifu Sana kwa rais
3. Mzalendo wa ukweli
4. Mpore asiye na makeke na mdomo kasuku
5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga
6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa
7. Asiyekuwa na matabaka
8. Asiyekuwa na kibri
9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga
10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.
Wanaotajwa kuziba nafasi hii
1 . Shamsi Vuai Nahodha
2. January Makamba
3. Seleman Jafo
Je, wewe unadhani wanafaa?
USSR
Nahodha ana nafasi kubwaKifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.