Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake...
Hiyo nafasi anapewa NAPE Nnauye, anafaa sana
 
Ukiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Shame on you mwenyewe!!!!!!
Tuache kuangalia maslahi ya taifa utung'ang'anize tusubiri msiba mbona issue ya hayati magufuli mama samia hakusubiri azikwe ndo awe rais.
Mtu akishakufa taifa halijafa!!!!!! Shame on you Tena.
 
Marehemu hata damu haijakauka vizuri, wananchi mshaanza kupigia plan cheo alichokiacha wazi...

Nani atapewa , nani atapewa? Si kuna naibu hapo kwenye hiyo wizara?
 
Waziri wa Ulinzi awe General Mabeyo. This will work out smoothly. Naamini itakuwa hivyo.
 
Shame on you mwenyewe!!!!!!
Tuache kuangalia maslahi ya taifa utung'ang'anize tusubiri msiba mbona issue ya hayati magufuli mama samia hakusubiri azikwe ndo awe rais.
Mtu akishakufa taifa halijafa!!!!!! Shame on you Tena.
Swine.
 
Genta,huwa Nampa kila mtu heshima,hata wasiostahili Kama wewe. Usidhani Mimi siwezi kutukana. Matusi ninayo na Yana chumba chake kabisa yametulia. Ila kwa kuwa jukwaa hili ni la watu waliostaarabika(baadhi) inabidi nisiwakere.

Huwa nakucheki tuu unavowatukana watu humu kwa kujifanya wewe ni fyatu kuliko kila mtu humu.
I don't care.......I have nothing to lose.
 
Back
Top Bottom