Nani kuwa waziri mkuu 2011 tanzania.......spika je?

MtazamoWangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2009
Messages
313
Likes
6
Points
35

MtazamoWangu

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2009
313 6 35
naomba tujaribu kutabiri nani anaweza kuwa waziri mkuu mwakani katika serikali ijayo ya JMT.
inasemekana Mh.Pinda hakuwa chaguo la mzee la kwanza, Je kuna wengine???
wapo pia waliotangaza nia ya kugombea ubunge kwenye majimbo kwa kudai wametumwa ili waupate uwaziri mkuu mwakani kwa kuwa wamekuwa wakifanya kazi na raisi kwa karibu mno....
je vipi kuhusu Spika a bunge?? Sita atarudi???

maoni haya yanaweza yakamsaidia JK na wahusika kuchagua mtu anaykubalika....

tuchangie....
 
Boramaisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
820
Likes
2
Points
0

Boramaisha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
820 2 0
Kwani alipomteua EL na baadaye Pinda alisaidiwa na maoni ya watu? Tne usipende kumuita JK mzee kwa sababu ni Rais kijana.

Kuhusu Sita kurudi bungeni jibu walao wananchi wa Urambo na sidhani kwamba hao wana access JF kuweza kunufaika na lolote litakaloandikwa hapa. Huo ndio mtazamo wangu mie!
 
AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Messages
1,380
Likes
7
Points
135

AK-47

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2009
1,380 7 135
Tusubiri Oktoba Watanzania wataamua nani arudi.. na iwapo Wtz watakuwa waerevu na makini zaidi basi wote hao mnaotabiri wataishia kuwa watu wa kawaida tu na pengine wengine wakawa na kesi za kujibu.
 
Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
4,549
Likes
1,759
Points
280

Bill

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
4,549 1,759 280
Speculation zingine bana... kazi kweli kweli. Are sure kwamba JK atatawala tena mwakani?
 
Ladslaus Modest

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2008
Messages
638
Likes
6
Points
35

Ladslaus Modest

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2008
638 6 35
naomba tujaribu kutabiri nani anaweza kuwa waziri mkuu mwakani katika serikali ijayo ya JMT.
inasemekana Mh.Pinda hakuwa chaguo la mzee la kwanza, Je kuna wengine???
wapo pia waliotangaza nia ya kugombea ubunge kwenye majimbo kwa kudai wametumwa ili waupate uwaziri mkuu mwakani kwa kuwa wamekuwa wakifanya kazi na raisi kwa karibu mno....
je vipi kuhusu Spika a bunge?? Sita atarudi???

maoni haya yanaweza yakamsaidia JK na wahusika kuchagua mtu anaykubalika....

tuchangie....
Ikimpendeza Mungu Jakaya Mrisho Kikwete atashinda kwa Kishindo na ataendelea kuwa Raisi wetu Tanzania hadi 2015.
Ikimpendeza Mungu Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda ataendelea kuwa Waziri wetu Mkuu
Ikimpendeza Mungu Mh. Samuel Sita atachaguliwa tena na Wabunge kuwa Spika.
Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.
 
Ben Saanane

Verified User
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,604
Likes
3,785
Points
280

Ben Saanane

Verified User
Joined Jan 18, 2007
14,604 3,785 280
Pm anayejulikana kama mtoto wa mkulima juzi kaongea hovyo hovyo,ati kwa nini watanzania wasiendekufanya kazi kenya?Nilipoteza Interest na huyu mkulu
 
buckreef

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Messages
309
Likes
3
Points
0

buckreef

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2010
309 3 0
Pinda taendelea kuwa PM. Sio rahisi kubadilisha waziri mkuu, labda kuwe na matatizo makubwa.

Budget ya kumtunza waziri mkuu aliyestaafu ni kubwa mno na ndio maana hao marais wanafikiria mara kumi kumi kabla ya kubadilisha waziri mkuu.
 
babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,066
Likes
1,078
Points
280

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,066 1,078 280
Pinda taendelea kuwa PM. Sio rahisi kubadilisha waziri mkuu, labda kuwe na matatizo makubwa.

Budget ya kumtunza waziri mkuu aliyestaafu ni kubwa mno na ndio maana hao marais wanafikiria mara kumi kumi kabla ya kubadilisha waziri mkuu.
Pinda atarudi kwasababu nyingine lakini siyo budget...Wangekuwa wanajali kihivyo tusingekuwa na Richmond,ndege ya raisi,twin towers na safari zisizokuwa na tija.
 
Mbopo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2008
Messages
2,532
Likes
9
Points
0

Mbopo

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2008
2,532 9 0
Hii ni kali ya mwaka! Yaani unataka tujadili nani atakuwa PM mwezi huu wa Mei wakati hata kura za maoni hazijaanza? Jamani tuache kuchochea mjadala usio na tija. What if hao wanaofikiriwa hawatagombea kwa sababu moja au nyingine?
 
ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Messages
1,276
Likes
243
Points
160

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2009
1,276 243 160
Pinda taendelea kuwa PM. Sio rahisi kubadilisha waziri mkuu, labda kuwe na matatizo makubwa.

Budget ya kumtunza waziri mkuu aliyestaafu ni kubwa mno na ndio maana hao marais wanafikiria mara kumi kumi kabla ya kubadilisha waziri mkuu.
kaka acha uongo bana, toka lini JK akafikiria isue ya kubana matumizi???
 
TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
140
Points
160

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 140 160
Kwani alipomteua EL na baadaye Pinda alisaidiwa na maoni ya watu? Tne usipende kumuita JK mzee kwa sababu ni Rais kijana.
Tuache kukataa facts, JK ni mzee kwa kila definition...
angalia age definition ya UN, angalia age definition hata ya CCM na pia tutambue kwamba ukishagusa 40 wewe ni mzee, we are all in denial as we age but JK ni mzee tena mzee haswa na kiumri angekua kwenye idara za serikali angeshaanza kujiangaa kungatuka kwa mujibu wa sheria
 
TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
140
Points
160

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 140 160
Pinda taendelea kuwa PM. Sio rahisi kubadilisha waziri mkuu, labda kuwe na matatizo makubwa.

Budget ya kumtunza waziri mkuu aliyestaafu ni kubwa mno na ndio maana hao marais wanafikiria mara kumi kumi kabla ya kubadilisha waziri mkuu.
samahani, ashakuma si matusi ila nadhani wewe hujui ulisemalo...
hiyo bajeti inashinda gharama ya yale mashanginigi V8?
Inaweza pita ya nyumba ya gavana?
inaweza pita ya zile posho za vikao visivyokwisha?
inaweza pita gharama za safari zisizokweisha za mkulu na watu wake kedekede?
iaweza kuzidi gharama za mikutano ya kimataifa iliyozidi kiasi kwamba nchi imekua kama conferecne center?
inaweza kuzidi gharama za kulipia mafuta ya kuzalisha umeme?
inweza kuzidi gharama ya EPA na mengineyo?
inaweza kuzidi gharama ya kampeni kwa mtu ambaye ameshashinda? hata kama ni ushindi wowote ule?

we need quality and if Pinda deserves to be a PM so be it! ila tusiseme abaki kwasababu gharama kubwa... kwa taarifa yako mfumo wetu haujali gharama, kama unabisha angalia overheads za wizara zetu
 
Joined
Feb 23, 2008
Messages
70
Likes
0
Points
0

Kizito

Member
Joined Feb 23, 2008
70 0 0
Kwani nani aliyewaambia JK atapita tena wakati kawatibua wafanyakazi katika mkutano na aliowaata wazee wa Dar wakati wazee waliokuwepo pale hawakuzidi saba? wengine wote walikuwa vijana wa sisiemu toka Bagamoyo(yaani wakwere wenzie ndio maana kila dk kikwere!kikwere!) aliotoa vijembe vya kwenye Taalab? Kama nchi ina watu makini wenye kutekenya Bongo JK hapiti, hivyo swali hili halipo.Maana wafanyakazi 350 000 +wake zao+ watoto wao+ mama zao+baba zao+wakwe zao jumla unapata milioni tano mwambieni awaombe Radhi wafanyakazi kwanza.
 
Forum statistics

Threads 1,203,566
Members 456,823
Posts 28,119,188