Sasa order imeagizwa Romania US anapata vipi taarifa ila IGP na waimba mapambio wengine wa Jiwe wana hatari kubwa ya kwenda ICC baada ya uchaguzi maana jinsi watu walivyomchoka Jiwe sidhani kama kuna atakaekataa kuandamanayani unanunua kwao afu wasiwe na uwezo wa kujua, wanajua hata alshabab wamenunua nini na wapi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa order imeagizwa Romania US anapata vipi taarifa ila IGP na waimba mapambio wengine wa Jiwe wana hatari kubwa ya kwenda ICC baada ya uchaguzi maana jinsi watu walivyomchoka Jiwe sidhani kama kuna atakaekataa kuandamana
Unamaana kuna mtu timamu anampenda jiwe?Sio wote wenye mawazo kama yako kua walimchoka huyo saddam hussein mwenywe na ukatili wake ila kuna watu walimpenda sn. uwezi chukiwa na watu wote never.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa order imeagizwa Romania US anapata vipi taarifa ila IGP na waimba mapambio wengine wa Jiwe wana hatari kubwa ya kwenda ICC baada ya uchaguzi maana jinsi watu walivyomchoka Jiwe sidhani kama kuna atakaekataa kuandamana
Sio wote wenye mawazo kama yako kua walimchoka huyo saddam hussein mwenywe na ukatili wake ila kuna watu walimpenda sn. uwezi chukiwa na watu wote never.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sijui, wala sikusikia kabisa!Wabongo hatujambo! Vifaa vya zimamoto au nilisikia vibaya labda!
Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo
Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana uwezo wa kufuatilia kila zana ya kiulinzi tunazokua tumeiagiza
Na kama wanao huo uwezo je huwa tunatumia vigezo gani kusema nchi iko salama

Usipende kutumia maelezo ya Jiwe kama chanzo chako cha taarifa Hugo jamaa ni muongo na mnafiki wa kiwango cha SGRWabongo hatujambo! Vifaa vya zimamoto au nilisikia vibaya labda!