Nani kawashtua mabeberu haraka kiasi hiki?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,023
16,480
Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo

Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana uwezo wa kufuatilia kila zana ya kiulinzi tunazokua tumeiagiza

Na kama wanao huo uwezo je huwa tunatumia vigezo gani kusema nchi iko salama
 
yani unanunua kwao afu wasiwe na uwezo wa kujua, wanajua hata alshabab wamenunua nini na wapi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa order imeagizwa Romania US anapata vipi taarifa ila IGP na waimba mapambio wengine wa Jiwe wana hatari kubwa ya kwenda ICC baada ya uchaguzi maana jinsi watu walivyomchoka Jiwe sidhani kama kuna atakaekataa kuandamana
 
Sio wote wenye mawazo kama yako kua walimchoka huyo saddam hussein mwenywe na ukatili wake ila kuna watu walimpenda sn. uwezi chukiwa na watu wote never.
Sasa order imeagizwa Romania US anapata vipi taarifa ila IGP na waimba mapambio wengine wa Jiwe wana hatari kubwa ya kwenda ICC baada ya uchaguzi maana jinsi watu walivyomchoka Jiwe sidhani kama kuna atakaekataa kuandamana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko romania kuna watu wa secret service
hivi unajua hata mobutu alikua CIA ? marekani ina mkono mrefu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vifaa vya zima moto vinalindaje amani hususani kuelekea Oct 25?
Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo

Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana uwezo wa kufuatilia kila zana ya kiulinzi tunazokua tumeiagiza

Na kama wanao huo uwezo je huwa tunatumia vigezo gani kusema nchi iko salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia iko kiganjani mwao
Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo

Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana uwezo wa kufuatilia kila zana ya kiulinzi tunazokua tumeiagiza

Na kama wanao huo uwezo je huwa tunatumia vigezo gani kusema nchi iko salama

Jr
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom