Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo
Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana uwezo wa kufuatilia kila zana ya kiulinzi tunazokua tumeiagiza
Na kama wanao huo uwezo je huwa tunatumia vigezo gani kusema nchi iko salama
Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana uwezo wa kufuatilia kila zana ya kiulinzi tunazokua tumeiagiza
Na kama wanao huo uwezo je huwa tunatumia vigezo gani kusema nchi iko salama