Nani kasema kupata namba ya mwanamke ni vigumu? Hebu jaribu hii tekniki

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
12,807
2,000
Oyah masela! Kwenye huu msimu wa sikukuu ninja wenu nimeanza kuona dalili kwamba kuna washkaji wengi sana watakosa mademu wa kuenjoy nao kwenye maeneo yetu yale ya kujidai,
Ndipo nikaona isiwe kesi, wacha nimwage maujanja kwa washkaji zangu ili Neema za Makinikia tuzifaidi sote.....
Sasa leo nitatoa mbinu moja kati ya nyingi nilizonazo,
Yaani leo tunaanza step ya kwanza kabisa ya kuomba namba ya simu kisha nyinyi wenyewe mtaniambia Sehemu gani penye ugumu kisha mimi nitatoa tekniki zooote ili twende nao sawa....
-
Ishu inakuwa hivi....

Hii ni moja kati ya mbinu kadhaa nilizokuwa nazitumia kupata namba ya demu aliyeingia kwenye target zangu,
Na hii mbinu inahusisha maeneo yote kuanzia kwenye social network hadi kitaani,
Yaani popote pale ukiona demu ameingia kwenye anga zako basi fanya hivi,
1,Kwanza Mpe salamu au anza kwa kumsifia(wanawake wengi wanapenda kusifiwa)
2.Akikujibu salamu yako au kama umemsifia basi atasema 'Ahsante'
3. hahaha Veeery simple kuanzia hapo ndio inafuata hii kitu inayoitwaga kummaliza kisaikolojia,
Namaanisha hapo kidume unatakiwa umuulize swali ambalo litamfunga na hatoweza kujifungua,
Mwambie hivi
''Unaonekana mkarimu sana''
4. Yeye atakuuliza kwanini?
5.Wewe utamjibu ''Nimeona hauna makuu wala haujiskii''
6. Demu atakujibu 'Ahsante'
Baada ya hapo tendo linalofuata ni kumpatia simu na kumwambia ''andika namba yako humu''
au
kama ni demu wa kwenye social network Muandikie namba yako kisha mwambie ''nicheck kwenye hii namba, nasubiria text yako''
-
Labda niseme tu hapo kwa uhakika demu hawezi kuchomoa kwasababu umeshamsifia yeye ni mkarimu na hana makuu,
kwahiyo ile sifa uliyompa imeshamlevya(imemlewesha)
Na kuanzia hapo sasa inabidi uendelee kuitumia hiyohiyo nafasi ya udhaifu wake ili kujimegea kiulaiiini...
Yaani wewe hata ukitaka kumuomba meeting, anza kwanza kumsifia
mfano.
''Cindy unajua sijawahi kujutia kukufahamu, kwasababu wewe ni mkarimu na haumaindi vitu vidogo vidogo''(hapa yeye atasema tu ''Ahsante'')
-Kisha mzee mzima unamwambia ''Kesho mida ya saa ***** nataka tukutane(unataja eneo husika)*****''
-
Yaani kuanzia hapo unakuwa umemaliza kila kitu na hatokuwa na sababu ya kukataa....
NAWATAKIA KAZI NJEMA MANINJA
 

princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
5,970
2,000
Ujanja wa Kizamani.
mimi hata unisifie nna matako kama joyce wowowo kama sitaki mawasiliano sitaki.
ila kama nnamua kukubali nakupa hata ukiniambia Arooo kuja hapa.

Cha kufanya tafuta simu yenye camera full Hd
nenda unakotafutia demu, kawe mpiga picha ,picha mtu picha kali afu muonyeshe, akiipenda atakwambia mtumie whatsapp ... habari imeisha
 

Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
619
1,000
Ukimuandikia namba mfano facebook ukimwambia naomba unitafute nasubiri text yako utakuta saa, siku, week zinakata humuoni sasa hapa unatumia rungu gani kumuua hyu ndege
 

xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,142
2,000
Hapo umejijibu kwa kulinganisha na nia yako chukulia sasa amekujibu baada ya kumuuliza we unaonekana mkarim na huna makuu then akakujibu hayo hayakuhusu...

Haya umemsifia kwamba mzur au nn cjui akakuambia namshukuru mzaz wngu kwa kunizaaa,,

Kutongoza stunner haina fomula inapoingia we ingiza hapo hapo,kuna maduuu ambao ni nyoko kwa majib ya shobo hata kama umemsifia vzr,,ila ushaur ni kwamba demu ukiwa na nia kwel kwel we mfate tu na akikutukana we cheka kila siku,,jib utalipata kabla ya miez 3 maana ndio muda wa kusema ndio au hapana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom