Nani kanisahau?

heee... kwani maana yake nini??? mwalimu wangu wa kiinglish alikuwa ananchapa kweli.. so nilitokea kulichukia sana hilo somo... hebu nambie maanaake!!!

Huyu MziziMkavu anajua sana kiswahili ngoja nim pm aje hapa atoe tafsiri halisi.
 
Last edited by a moderator:
Ameachika zamani sana, hujasikia sahivi yupo kijijini kwao analima?

nilisikia fununu kuna mtu anammendea my bebii.......sasa ndio naanza kupata tashwishwi.......
khaaa!......hata wewe....?
 
Preta naskia huko Yaeda mmeandamana eti kuna watu wanataka kuwatapeli chakula cha msaada, ikoje hiyo!??'

tutakuja tupige mtu mkuki wa nanihii ndio atajua......na mkuki wetu si unajua tukitaka kuurusha tunauelekezea wapi......
 
helo marafiki ndugu na jamaa wa chit chat... Nimepotea sana pande hizi. But i hope hatujasahauliana bado.

najua kwanini umeadimika maana zile sare na kupigwa mechi mbili siyo mchezo hata mimi sijakanyaga jukwaa lile sasa tuna waongeza akinanai watuokoe duru la pili maana tusipojipanga tunaabika mkuu..
 
kuna member humu anaitwa Kiherehere. Ni ndugu yako?

Mimi kama Pacha wa sweetlady na mwakilishi wa Ukoo (humu JF) simtambui huyo Kiherehere uliyemtaja. Wala hatuna udugu naye.
Hebu mtake radhi Pacha angu fasta arifu,, kisha ututake radhi wanaukoo wote kwa ujumla.
Na alichosema Pacha angu kuhusu Preta ni ukweli, japo sitapenda kuuzungumzia hapa kuepusha conflict of interest.
Na kimsingi mimi kama Ex wake na Preta, niko kwenye michakato ya kumrudisha mjini baada ya kutelekezwa nahuyu Brazameni Erickb52

*************Topiki Klozd************
 
Nimekaribia ndugu yangu Arushaone vipi lakini pande hizo za Arusha?
Preta yupo? Hajaachika bado?

Ameachika zamani sana, hujasikia sahivi yupo kijijini kwao analima?

mimi huyu huyu.....au......?

nilisikia fununu kuna mtu anammendea my bebii.......sasa ndio naanza kupata tashwishwi.......
khaaa!......hata wewe....?

tutakuja tupige mtu mkuki wa nanihii ndio atajua......na mkuki wetu si unajua tukitaka kuurusha tunauelekezea wapi......
...bora my bebii..umejionea..mie naweza tafuta mutu
 
Back
Top Bottom