Nani kanisahau?

Nani kanisahau?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
helo marafiki ndugu na jamaa wa chit chat... Nimepotea sana pande hizi. But i hope hatujasahauliana bado.
 
Mi nimemsahau Mwali
Hajambo?
 
Last edited by a moderator:
Osh! I almost forgot you Saint Ivuga! Bahati yako nakukumbuka sana. Kaa kwenye jamvi tulisongeshe!
 
Last edited by a moderator:
Ameachika zamani sana, hujasikia sahivi yupo kijijini kwao analima?
daaaah!!!!! Sijaisikia hii. So analima matunda gani? Nataka nifanye naye biashara awe ananitumia matunda mtoni huku.
 
Astaghafulilah .. Wee mtoto ndio unatafsirije lugha za watu?

heee... kwani maana yake nini??? mwalimu wangu wa kiinglish alikuwa ananchapa kweli.. so nilitokea kulichukia sana hilo somo... hebu nambie maanaake!!!
 
daaaah!!!!! Sijaisikia hii. So analima matunda gani? Nataka nifanye naye biashara awe ananitumia matunda mtoni huku.
Ndio hivyo Saint Ivuga ! Analima matikiti na matango! Mboga mboga pia analima ngogwe, bamia , mchicha !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom