NANI KAMA MUNGU? Mzee wa upako!

NANI KAMA MUNGU? Mzee wa upako!

Status
Not open for further replies.

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,447
Reaction score
10,785
Hii imenishangaza sana. Yanakuja maneno yanauliza "nani kama Mungu?" Then jibu linakuja,Mzee wa Upako! Mi sijaelewa hapo wadau! Huyu Katapila,Transformer Antony Lusekelo ni kama Mungu? Na anachohubiri hasa hasa ni watu kuwa matajiri,kuongeza mapato n.k! Wanaomfaham jamani,asije akawa anapotosha watu! Ila kama ni nguvu za Mungu au mungu mmh! Tusaidiane!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mbona sijaelewa hayo maneno yanakuja wapi? kwenye tv? au kichwani kwako? au wapi?

huyu Antony lusekelo si ndo anajiita TRANSFORMER au KATAPILA duuu !!!
 
Ushauri wa bure,kimbia kanisa hilo tafuta kanisa la kweli kama eagt au tag lolote au uende kwa mchungaj katunzi eagt tandika chuo cha bandari.
 
Hii imenishangaza sana. Yanakuja maneno yanauliza "nani kama Mungu?" Then jibu linakuja,Mzee wa Upako! Mi sijaelewa hapo wadau! Huyu Katapila,Transformer Antony Lusekelo ni kama Mungu? Na anachohubiri hasa hasa ni watu kuwa matajiri,kuongeza mapato n.k! Wanaomfaham jamani,asije akawa anapotosha watu! Ila kama ni nguvu za Mungu au mungu mmh! Tusaidiane!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
HII HISTORIA INAWEZA KUSAIDIA:
Huyo anayejiita Mzee wa Upako jina lake halisi ni Antony Lusekelo na Jina Mzee wa Upako si la bibilia wala la ubatizo!!!
Antony Lusekelo ni Mtu wa Mbeya na alilelewa na mama yake katika hatua za ujana .Mama yake Antony alipata shida na mtoto huyo sababu alikuwa anavuta Bangi.

Wakati fulani Askofu Mwasoto ambaye alikuwa anaishi karibu na Mama yake Lusekelo alikwenda Mbeya kusalimiana na ndipo alipo ongea faragha na mama Lusekelo ambapo alimueleza tatizo la Mwananaye ambapo alimuomba amchukue ili aje Dar na kukaa kalibu na Mchungaji na kupata kuhudhuria kanisani.

Askofu Mwasota alikubali na akamuchukua Lusekelo na huo ndo mwazo wa tapeli huyu kulijua jiji.!!!!
Alipofika Dar alikuwa anaishi nyumbani kwa Askofu Mwasota huku tabia ya udokozi ikiwa bado inamsakama.!!!

Wakati akiwa analazimishwa kwenda kanisani ,alifanikiwa kujichanganya na watu wanaokwenda kubatizwa na Mchungaji alimbatiza kwa bahati mbaya bila kujua kuwa ni mtoto mtukutu!!!

Baada ya ubatizo huo batili akawa anaiga kuhubiri huku akiunguruma kwa sauti!!!! Alianza kuongeza kasi ya kwenda kanisani na waumini wengi wakamuheshimu kama mtoto wa Mchungaji na kumupa heshima kubwa!!!
Kipindi chote hicho Lusekelo hajui kuandika hadi leo hajui ijapo kuwa amemuoa mwandishi wa habari TBC!!!

Askofu Mwasota alianza kuona mabadiliko ya tabia na wakati mwingine Lusekelo aliamua kutembelea matawi ya kanisa la Askofu Mwasota huku akiwa anawinda sadaka!!!

Ni kwa sababu hii Lusekelo alikwenda kwenye tawi la Mwasota hapo Kibangu na kujikita hapo!!!
. Katika hatua za Mwanzo alifanya vizuri lakini baada ya kuanza kupokea pesa nyingi aliamua kuanza kuhubiri kwa kuunguruma na ghafla akajiita Mzee wa Upako huku akimaanisha kuwa yeye ana upako wa kuwaponya watu kuliko Askofu Mwasota !!! Huu ndio mwanzo wa jina hilo na gazeti la Nyakat
i wamepata pesa nyingi sana kwa kulinadi jina hilo hadi leo!!!

Kwa kifupi Antony Lusekelo alibadilika ghafla na kujiita Mzee wa upako sambamba na kumumpindua Askofu Mwasota katika tawi la Kibangu. Mtu huyu hana tawi lolote wala hawezi kufungua na hana uongozi wa Kanisa. Wala hajui kuandika!!!.

Mda mfupi alianza kufanya biashara ya madini sambamba na kuingiza magari nchini kwa Kushirikiana na Mama Rwakatare wa Mikocheni B ambaye naye alijitenga kutoka TAG baada ya kuanzisha mahubiri ya utajiri na kujipamba kwa Mawigi!!!

Kipindi hicho ndicho Antony Lusekelo alipokamatwa na Polisi kwa Kosa la Utapeli na kushikiriwa na Kituo cha Urafiki Ubungo na alipiga simu kwa Mama Rwakatare ambaye alikuja kumtoa baada ya kuhonga Shs 2,000,000.

Katika tukio lingine mwaka 2007 Antony Lusekelo alikamatwa na Matail 250 bandalini na kushikiliwa na TRA na maofisa wa Uslama.
Mama Rwakatare alimshauli ajiunge na CCM ili kukwepa usumbufu na ndio chanzo cha urafiki wa Mzee wa upako na JK.

Mzee wa upako alipewa adhabu ya Kumutetea Kikwete na kumupigia debe huku akishambulia CHADEMA na huu ndo mwanzo wa yeye kuchukia CHADEMA na watu wanaopinga Kikwete.

Mzee wa Upako amekuwa wa Kwanza kushirikiana na Shehe Yahaya katika kumunadi Kikwete na siku ya Kifo cha Yahya Mzee wa upako alieleza bayana!!!

Kuna masalhi ya sasa ambapo Mzee wa upako ana anza kurukia upande wa Lowassa akilenga kujipatia taarifa lakini kwa siri kubwa anaripoti kwenye mtandao wa Kikwete na kuangamiza Chadema!!!
Mwaka 2010 alitumika sana kuwashambulia viongozi wa dini waliokuwa wanaunga mkono Chadema na hata juzi ametumiwa sana kuwashambulia Maaskofu wakati wa Mgogoro wa Kuchinja!!!
 
Kwa mbali na yule jamaa mafundisho yake ni ubatili mtupu
 
Hii imenishangaza sana. Yanakuja maneno yanauliza "nani kama Mungu?" Then jibu linakuja,Mzee wa Upako! Mi sijaelewa hapo wadau! Huyu Katapila,Transformer Antony Lusekelo ni kama Mungu? Na anachohubiri hasa hasa ni watu kuwa matajiri,kuongeza mapato n.k! Wanaomfaham jamani,asije akawa anapotosha watu! Ila kama ni nguvu za Mungu au mungu mmh! Tusaidiane!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Zakuambiwa changanya na zako
 
Tusome sana neno la Mungu....ili tutambue kweli yake.Kumcha bwana ni chanzo cha maarifa.
 
Asante sana mkuu KING KING kwa kutupa darasa. Ninaamini wengi wetu tumefaidika kwa kulielewa hilo.

Binafsi ninapata mashaka sana kuona jinsi 'makanisa' yanavyoibuka kila kukicha na watu wanaojiita watumishi wa Mungu wanavyoogelea kwenye dimbwi la utajiri wakati wanakondoo wanaowaongoza wakiendelea kuwa duni kwenye dimbwi la ufukara. Makanisa yamegezwa 'dili', sehemu ya kuchuma mali, badala ya kuwa nyumba ya Ibada na sehemu ya kuwapa waumini mwelekeo na mwongozo wa maisha bora hapa duniani na mbele ya Mungu! Wamesahau ya kwamba wao wanatakiwa wawe 'watumishi', wajishushe kama ambavyo vitabu vitakatifu vinaelekeza.

Wakumbuke ya kuwa hata Yesu Kristo alizaliwa kimaskini kwenye familia ya 'seremala' na akalelewa katika hali ya kimaskini. Hata mwishoni alipokuwa anaingia Yerusalemu, alipanda mwana punda. Wakati huo kulikuwa na warumi waliokuwa wanatumia farasi na magari ya kukokotwa na farasi! Mwenyezi Mungu hakushindwa kumleta Yesu kama tajiri!

Kama watumishi wa Mungu wanatakiwa waishi kufuata mifano hai ya Yesu Kristo, badala ya kujikweza na kutamba na utajiri wa kidunia ambao utapita. Kwangu mimi huyo Mzee wa Upako, Mama Lwakatare na wengine wanaojiita manabii na maaskofu ninawaona ni Manabii wa Uongo ambao vitabu vyote vya kidini vimetutahadharisha ya kuwa tutawaona wengi siku za mwisho.

Biblia inatuambia, 'Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako!' (Ufunuo wa Yohana 3:11)
 
HII HISTORIA INAWEZA KUSAIDIA:
Huyo anayejiita Mzee wa Upako jina lake halisi ni Antony Lusekelo na Jina Mzee wa Upako si la bibilia wala la ubatizo!!!
Antony Lusekelo ni Mtu wa Mbeya na alilelewa na mama yake katika hatua za ujana .Mama yake Antony alipata shida na mtoto huyo sababu alikuwa anavuta Bangi.

Wakati fulani Askofu Mwasoto ambaye alikuwa anaishi karibu na Mama yake Lusekelo alikwenda Mbeya kusalimiana na ndipo alipo ongea faragha na mama Lusekelo ambapo alimueleza tatizo la Mwananaye ambapo alimuomba amchukue ili aje Dar na kukaa kalibu na Mchungaji na kupata kuhudhuria kanisani.

Askofu Mwasota alikubali na akamuchukua Lusekelo na huo ndo mwazo wa tapeli huyu kulijua jiji.!!!!
Alipofika Dar alikuwa anaishi nyumbani kwa Askofu Mwasota huku tabia ya udokozi ikiwa bado inamsakama.!!!

Wakati akiwa analazimishwa kwenda kanisani ,alifanikiwa kujichanganya na watu wanaokwenda kubatizwa na Mchungaji alimbatiza kwa bahati mbaya bila kujua kuwa ni mtoto mtukutu!!!

Baada ya ubatizo huo batili akawa anaiga kuhubiri huku akiunguruma kwa sauti!!!! Alianza kuongeza kasi ya kwenda kanisani na waumini wengi wakamuheshimu kama mtoto wa Mchungaji na kumupa heshima kubwa!!!
Kipindi chote hicho Lusekelo hajui kuandika hadi leo hajui ijapo kuwa amemuoa mwandishi wa habari TBC!!!

Askofu Mwasota alianza kuona mabadiliko ya tabia na wakati mwingine Lusekelo aliamua kutembelea matawi ya kanisa la Askofu Mwasota huku akiwa anawinda sadaka!!!

Ni kwa sababu hii Lusekelo alikwenda kwenye tawi la Mwasota hapo Kibangu na kujikita hapo!!!
. Katika hatua za Mwanzo alifanya vizuri lakini baada ya kuanza kupokea pesa nyingi aliamua kuanza kuhubiri kwa kuunguruma na ghafla akajiita Mzee wa Upako huku akimaanisha kuwa yeye ana upako wa kuwaponya watu kuliko Askofu Mwasota !!! Huu ndio mwanzo wa jina hilo na gazeti la Nyakat
i wamepata pesa nyingi sana kwa kulinadi jina hilo hadi leo!!!

Kwa kifupi Antony Lusekelo alibadilika ghafla na kujiita Mzee wa upako sambamba na kumumpindua Askofu Mwasota katika tawi la Kibangu. Mtu huyu hana tawi lolote wala hawezi kufungua na hana uongozi wa Kanisa. Wala hajui kuandika!!!.

Mda mfupi alianza kufanya biashara ya madini sambamba na kuingiza magari nchini kwa Kushirikiana na Mama Rwakatare wa Mikocheni B ambaye naye alijitenga kutoka TAG baada ya kuanzisha mahubiri ya utajiri na kujipamba kwa Mawigi!!!

Kipindi hicho ndicho Antony Lusekelo alipokamatwa na Polisi kwa Kosa la Utapeli na kushikiriwa na Kituo cha Urafiki Ubungo na alipiga simu kwa Mama Rwakatare ambaye alikuja kumtoa baada ya kuhonga Shs 2,000,000.

Katika tukio lingine mwaka 2007 Antony Lusekelo alikamatwa na Matail 250 bandalini na kushikiliwa na TRA na maofisa wa Uslama.
Mama Rwakatare alimshauli ajiunge na CCM ili kukwepa usumbufu na ndio chanzo cha urafiki wa Mzee wa upako na JK.

Mzee wa upako alipewa adhabu ya Kumutetea Kikwete na kumupigia debe huku akishambulia CHADEMA na huu ndo mwanzo wa yeye kuchukia CHADEMA na watu wanaopinga Kikwete.

Mzee wa Upako amekuwa wa Kwanza kushirikiana na Shehe Yahaya katika kumunadi Kikwete na siku ya Kifo cha Yahya Mzee wa upako alieleza bayana!!!

Kuna masalhi ya sasa ambapo Mzee wa upako ana anza kurukia upande wa Lowassa akilenga kujipatia taarifa lakini kwa siri kubwa anaripoti kwenye mtandao wa Kikwete na kuangamiza Chadema!!!
Mwaka 2010 alitumika sana kuwashambulia viongozi wa dini waliokuwa wanaunga mkono Chadema na hata juzi ametumiwa sana kuwashambulia Maaskofu wakati wa Mgogoro wa Kuchinja!!!

Hivi mtu anaweza kujua kusoma asijue kuandika????
 
Hakuna kitu pale we msikilize mwanzo mwisho,kama unaakili utagundua ni tapeli.nawashangaa sana ambao wanapeleka pesa kila siku pale.YULE NI MWIZIIIIIII!!.kueeni huru kifikra mtaona ukweli,
 
Asante sana mkuu KING KING kwa kutupa darasa. Ninaamini wengi wetu tumefaidika kwa kulielewa hilo.

Binafsi ninapata mashaka sana kuona jinsi 'makanisa' yanavyoibuka kila kukicha na watu wanaojiita watumishi wa Mungu wanavyoogelea kwenye dimbwi la utajiri wakati wanakondoo wanaowaongoza wakiendelea kuwa duni kwenye dimbwi la ufukara. Makanisa yamegezwa 'dili', sehemu ya kuchuma mali, badala ya kuwa nyumba ya Ibada na sehemu ya kuwapa waumini mwelekeo na mwongozo wa maisha bora hapa duniani na mbele ya Mungu! Wamesahau ya kwamba wao wanatakiwa wawe 'watumishi', wajishushe kama ambavyo vitabu vitakatifu vinaelekeza.

Wakumbuke ya kuwa hata Yesu Kristo alizaliwa kimaskini kwenye familia ya 'seremala' na akalelewa katika hali ya kimaskini. Hata mwishoni alipokuwa anaingia Yerusalemu, alipanda mwana punda. Wakati huo kulikuwa na warumi waliokuwa wanatumia farasi na magari ya kukokotwa na farasi! Mwenyezi Mungu hakushindwa kumleta Yesu kama tajiri!

Kama watumishi wa Mungu wanatakiwa waishi kufuata mifano hai ya Yesu Kristo, badala ya kujikweza na kutamba na utajiri wa kidunia ambao utapita. Kwangu mimi huyo Mzee wa Upako, Mama Lwakatare na wengine wanaojiita manabii na maaskofu ninawaona ni Manabii wa Uongo ambao vitabu vyote vya kidini vimetutahadharisha ya kuwa tutawaona wengi siku za mwisho.

Biblia inatuambia, 'Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako!' (Ufunuo wa Yohana 3:11)

Me sio mfuasi wamzee wa upako wala hayupo moyoni wala akilini mwangu,

ila unanishangaza sana na tafsiri yako ya Yesu juu ya umaskini ni nani aliekumbia Mungu anataka watu wake wateseke na umasikini, umasikini unasababisha yafuatayo

kukosa ada ya kusoma
kukosa fedha za matibabu
kukosa mavazi na malazi bora
kukosa uwezo wa kumudu mlo kamili
kukosa ufanisi wa uendeshaji wa shughuli za maendeleo
kukosa sadaka zaka malimbuko na msaada kwa watu wasiojiweza. n.k

mambo haya yote ndo yanayo changia umasikini mkubwa kwa watu sasa kwa mujibu wa maelezo yako ndivyo Mungu anavyotaka iwe kwa wanadamu aliowaumba kwa sura na mfano wake?

Utajiri ni kutumia rasilimali ambazo ni asili Mungu alizoumba kwa ajili ya wanadamu ili waendelee kwa Utukufu wake,

kwa mujibu wa maelezo yako ni dhambi kuchimba madini, kufanya biashara, kufanya kazi, kulima, kufuga na kutoa huduma yoyote halali inayompa mtu kipato kinachomfanya awe tajiri kwa kuwa utajiri ni mafanikio ya hali ya juu ya upatikanaji wa faida ya kazi fulani halali,

Kwa kusema hivyo Mungu aliwafundisha Adam na Eva dhambi alipowakabidhi bustani wailime na kuitunza ambapo kwa maisha ya kileo wangeweza kuuza mazao waliyolima na kutajirika kwa mfumo wa money exchange

Hivyo unataka kusema kwamba tukienda maosipitalini na kukosa dawa, vifaa tiba, watoto wanakaa chini darasani, wamama wanajifungulia njiani, njaa, kutomudu kusoma vizuri, GDP ya taifa kuwa chini kutokana na low per capital income na matatizo mengine yote, kwamba maana yake ni umasikini [sio tajiri kumudu] ni mpango wa Mungu watu wake waishi hivyo au?

naomba jibu tu kwa namna ya kibinadamu na sio kwa kuzama kwenye NENO cause huko sijui hata utajiteteaje!
 
Sikusema ya kuwa Mungu Ameumba watu wake ili wawe maskini, la hasha.

Ninachoshangaa mimi ni namna gani hawa wanaojiita viongozi wa kidini ambao wanakwenda kinyume na mafundisho ya dini zenyewe.

Siafiki hata kidogo kuona wagonjwa wanakosa huduma za hospitali, na wanapozipata wanalala chini ama wanalala kitanda kimoja wagonjwa zaidi ya mmoja, watoto wanasoma darasa moja wanafunzi zaidi ya 100, wengi wanakaa chini na mara nyingi wanatumia kitabu kimoja au viwili kwa darasa zima, walimu hawana mishahara, madaktari hawana mishahara na maslahi yao hayatiliwi maanani.

Ninachoshangaa mimi ni jinsi gani 'mtumishi' wa Mungu anakuwa na utajiri wa kupindukia wakati hao 'kondoo' anaotakiwa kuwahubiria wanaendelea kuzama kwenye dimbwi la umaskini. Haina maana kwa kuwa Bwana yesu alipanda punda basi na mtumishi wa leo apande punda la hasha, bali naisha yake yawe kioo cha jamii anayoishi nayo. Kama sadaka za washarika wake zimefanikisha kununuliwa gari la kusaidia kutoa huduma inaeleweka, maana na hao washarika huenda pia wana magari. kama anaishi kwenye nyumba nzuri ni vizuri sana. Nisichoelewa ni pale Askofu, Nabii, Mchungaji n.k. anapoishi kwenye 'hekalu' na kuogelea kwenye 'bwawa' la mali kupindukia wakati kondoo wake wanaendelea kumtajirisha na wao kubaki kwenye ufukara. Hapo sielewi!
 
naomba nieleze kwa jinsi ninavyojua kazi ya Mungu'
Kila Mtumishi wa Mungu amepewa kipawa au talent au gift yake kwa makusudi ya kuujenga mwili wa Kristo ambao ni Kanisa
Nyie wote mnaopotosha au kumkandya Mzee wa Upako mnatenda dhambi bila kujua kwa sababu ni mtumishi wa Mungu''kwangu mimi Mzee wa Upako ni mtumishi wa Mungu mwenye mapungufu na udhaifu wa kibinadamu'sina haki ya kumhukumu kwa sababu anayemtumikia ataweza kunihukumu kwa kumdharau mtumishi wake''
Ndugu zangu kuna gharama kubwa za kulipa kwa watu wanaodharau na kuhukumu watumishi wa Mungu'ondoa kabisa ulimi wako kumsema vibaya mtumishi wa Mungu wala usiruhusu moyo wako kumwazia mabaya'KATIKA JINA LA YESU AMEN
 
Kwa mtu yeyote anaesoma biblia anajua Lusekelo ni tapeli wa NENO LA MUNGU.Yesu alihubiri sana habari za mioyo safi na kujiweka tayari kutwa ufalme wa Mungu
cha ajabu makanisa ya akina Lusekelo,wanahubiri majigambo ya kidunia na kujikweza.Napendelea mjadala wetu ujikite katika mafungu ya biblia kwa mfano huyo bwana alietoa Hosea 4:6.Je kuna mtu yeyote anaweza kuifafanua? Ni lazima tujikite katika bible kujua waalimu wa uongo na wa kweli,manabii wa uongo na mitume wa uongo.Walokole wengi hutumia nguvu za giza katika miujiza yao ya uongo na mtakumbuka kwamba kanisa si mali ya mtu kwahiyo makanisa yote yanayomilikiwa na watu binafsi kama wafanyavyo Lusekelo,lwakatare,Gamanywa,kakobe n.k wote ni tumb😵le wao watangazao neno kwa ajili ya Matumbo yao.
 
Kiukweli binafsi mimi namuona mzee wa upako ni zuga tu! Yaani yuko mbele anahubiri muumin unaruhusiwa kwenda mbele kutunza! Yaani kama vile kwenye bendi za muziki au ngomani, katikati ya mahubiri!? Hana upako wowote na ishu ni kwamba waliwao ndo wajinga.
 
Kwa mtu yeyote anaesoma biblia anajua Lusekelo ni tapeli wa NENO LA MUNGU.Yesu alihubiri sana habari za mioyo safi na kujiweka tayari kutwa ufalme wa Mungu
cha ajabu makanisa ya akina Lusekelo,wanahubiri majigambo ya kidunia na kujikweza.Napendelea mjadala wetu ujikite katika mafungu ya biblia kwa mfano huyo bwana alietoa Hosea 4:6.Je kuna mtu yeyote anaweza kuifafanua? Ni lazima tujikite katika bible kujua waalimu wa uongo na wa kweli,manabii wa uongo na mitume wa uongo.Walokole wengi hutumia nguvu za giza katika miujiza yao ya uongo na mtakumbuka kwamba kanisa si mali ya mtu kwahiyo makanisa yote yanayomilikiwa na watu binafsi kama wafanyavyo Lusekelo,lwakatare,Gamanywa,kakobe n.k wote ni tumb😵le wao watangazao neno kwa ajili ya Matumbo yao.
Mimi nimeleza utapeli wa Lusekelo na Ushahidi wake naomba ulete ushahidi wa utapeli wa uliowataja ili watu wachangie
Siku za nyima ulivuma uvumi wa CCM na kumutukana Kakobe lakini ukweli mimi niliupata kwenye site yake
www.fgbfchurch.org
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom