KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
simu ya mzee wa upako ni 0713 725473Na mim nimejiuliza hili swali.
Mashart yake ni kwamba unatuma msg na shida yako ndipo yeye akupigie!!! Hii ni dalili ya utapeli mwingine!!!
Huwa anachagua watu wa kuongea nao kukwepa maswali ya waandishi wa habari!!!
Pale kwake ni mtu anayependa nyama poli na huwa analetewa hapo haijulikani anayepeleka hapo lakini siku za nyuma aliwahi kutelekeza Gari lake la Kifahali Leaders Club huku akiwa amelewa!!!
Yeye haoni Shida yapo mahubiri yake ambayo anahasisha watu wa Tabora kulima Tumbako na kuwahimiza kuvuta sigara wakati taasisi za kupambana na kifua kikuu zinapinga!!!
Gazeti la Nyakati liliwahi kuandika haya Maaskofu wakashangaa sana!!!