Mnong'oneze babu japo kiduchu
Nini kama mnong'onozo?
Nyie watu wawili hapo juu, Hii thread inafungwa kwa msimamo wa babu katika post hii hapa chini.
Na mdogo wangu akamalizia kwa muktadha wa hoja maridhawa kabisa hapa chini
Konklusheni ni kwamba.
Hakuna kama WAZAZI bila kujalisha jinsia zao.
Tuwapende, tuwaheshimu na tuwatunze wazazi wetu.
HAKUNA KAMA MAMA......... sawa kabisa, lakini je NI NANI KAMA BABA? Hakuna!
duuuhhh
jamani huyu babu
yangu huyu mmmmhhh
kweli hakuna kama yeye..
babu sasa niki kunong'oneza
si hubby ataniuliza nilikuwa na
ku nong'oneza nini jamani dahhhh
Unaanza kuharibu sasa...we si umesema hakuna kama babu?
Akikuuliza unambwenga makwenzi afu unamwambia NANI KAMA BABU?
Haya...moja.....mbili....tatu........mnong'onozoooooo anza!
Asprin yote hiyo ili tu ujustify kuwa mama si zaidi ya baba, kua wote sawa..... sawa bana....
hahahahha lol
babu itabidi tuingie chumbani
mie siko tayari kuweka bia moja
katikati ya walevi mia mmmhhhh
Hahahaha....
Hapo umenifurahisha sana kwakuwa Hakuna kama Bia...........Nini kama chumba?
Babu anawahi chumbani kusubiria mnong'onozo!
Ukweli ni kwamba hoja ilikuwa si kuwalinganisha hawa wazazi wawili.
Hoja ilikuwa kama mama anapewa heshima kubwa ya uzazi kwa cheo cha HAKUNA KAMA MAMA, inakuwaje mzazi mwenzie naye asistahili heshima kama hiyo? Baba ana mbadala?...Anabadilishika? Ananunulika? ...Hicho tu Asha wangu.
Baba naye anastahili heshima yake kwakuwa HAKUNA KAMA BABA!
babuuuuuuuuu!!! ugoro ulionituma huu hapa, ila usiteme hapo pembeni ya kitanda sasa.
usiogope bana, hakuna kama babu, hakuna kama Asprin.
Hahahaha.... Nini kama hamu?
Babu ana hamu ya kunong'onezwa....... Nini kama hamu?
dahhh babu
leo naona haya maswali ya
nani ??
nini??
nunu??
ninu??
neni??
yamezidi mmhhh
kwanini tu lakini unanitesa na hayo maneno
nway karibu Nachoes hahaha lol
sema kipenzi mama wa BusaraUkimuona AFRO mwambie nammiss halafu tunahitaji faragha.......
sema kipenzi mama wa Busara
hata mimi nimekumiss sana dear ..
Sijui kwa nini wanikimbia siku hizi ...
kama nimekukosea nisamehe sana
lakini kama umenikosea mmmmmmhh
Nikukimbie wewe!!!!!!!!!
Haiwezi kutokea mpenzi....
Hujanikosea wala sidhani kama unafikiria kufanya hivyo
Nimeamua kuwa kimya nikufatilie kwa umakini,,,lol
Kuonyesha nakupenda nimeandika ki-afro afro:evil: