nani kama bishanga jamani?

tatizo wewe unawafuata akina mjukuu Secretary hawajui kutunza watu wazima kama wewe
mi nataka kumwonyesha Arushaone kuwa wakati mwingine unaweza kula na kunywa bila kufungua waleti.

my ex,umeanza lini kuhonga wanaume?
 
tatizo wewe unawafuata akina mjukuu Secretary hawajui kutunza watu wazima kama wewe
mi nataka kumwonyesha Arushaone kuwa wakati mwingine unaweza kula na kunywa bila kufungua waleti.
nasikia ka wivu kwa mbaaaaaaali.
 
hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!

kweli wahaya mnaongoza kwa mbwembwe ila umetisha mkuu.
wanasema usiige kunya kwa tembo ngoja nikuache tu
 
Back
Top Bottom