nani kama bishanga jamani?

hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!
Bishanga Hata ujidai vipi The secretary harudi nyuma meeeen!
 
Last edited by a moderator:
Hivi na hela zote bado wewe ni mdaku. Afu ulisutwaga na haujakomaga! Mweeh!
gfsonwin, njoo uone hii
King'asti mwache aendelee kuremba mwandiko wakati somo lenyewe imla. ikisemwa fullstop kwisha habari yake ndipo bibie la kichagga nitaamka na ngawira zangu.

siri ya kukimbia mbio ndefu usi exploit energy kubwa mwanzoni anza na strides ndefu ila si za nguvu save it for the last minutes and let your energy curve grow upward gradually.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, i love your guts
Ha ha ha ha, dah! am speechless
Brag! Brag! Brag!

Umenikumbusha mtu mmoja high school, watu walikuwa wanamchunia kama nini
Coz he was bright in class na alijuwa kubrag about it

Utasikia anawauliza "mnasoma nini, afu mie nakuwa wa kwanza?"
hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!
 
wewe nataka hela yangu ya madafu umeuza faida na mtai umepeleka jf sitasita kukuitia police wa Iringa na unavyopenda umaarufu report itakuwa amejilipua akitafuta umaarufu hakuna atakayeshtuka ,wa hilo halafu baby tuuma za Jestina ni za kweli umemfanyaje mtoto wa mwenzio?
 
achana na Jestina mzushi huyo anatuonea gere na mihela yetu sema baby x mass twende wapi LA , NY au brisbane?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, i love your guts
Ha ha ha ha, dah! am speechless
Brag! Brag! Brag!

Umenikumbusha mtu mmoja high school, watu walikuwa wanamchunia kama nini
Coz he was bright in class na alijuwa kubrag about it

Utasikia anawauliza "mnasoma nini, afu mie nakuwa wa kwanza?"
konnie , umeolewa?
 
King'asti mwache aendelee kuremba mwandiko wakati somo lenyewe imla. ikisemwa fullstop kwisha habari yake ndipo bibie la kichagga nitaamka na ngawira zangu.

siri ya kukimbia mbio ndefu usi exploit energy kubwa mwanzoni anza na strides ndefu ila si za nguvu save it for the last minutes and let your energy curve grow upward gradually.

gfsonwin,si ndo maana nimeanza kidogo kidogo leo tanzanite,kesho diamond mwisho platinum member,au?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom