nani kama bishanga jamani?

nani kama bishanga jamani?

Ila shemeji tuseme ukweli tu wahaya mnapenda sifa sana khaaaaa
shemeji shuhudia siku karani wa sensa alivyokwenda kwa ruttashobolwa:
karani:mko wangapi nyumba hii?
Rutta: infwakt tuko watano,mimi,mke wangu na three kids.
Karani:wote mmeamkia hapa leo?
Rutta: hapana,mke wangu .madam B yuko charlotte,USA mama obama alimkaribisha kwenye convention.
Karani: na wengine?
Rutta: awa fest bon koku ndo anamalizia doctorate wisconsin,rutta junior yuko masters cambridge,actualy IGSCE alipata distinction with eight A's.
Karani: na wa mwisho?
Rutta: huyo amekwenda Stutgart ku test run mrecedes made to order niliyomnunulia Madam B kwenye birthday yake,unajua ile prado kaichoka na haka ka lamborgin anasema kako too fact,actualy bora angechukua ike Dodge ambayo nimemgaia dada yake.
Karani: matibabu ya familia mnapata wapi?
Rutta: england of course hahahaha tuna family account st thomas hospital,actualy nna mafua kesho nakwenda chek up......
 
Last edited by a moderator:

Mie nawajua si unaelewa namaanisha nini.................Ha ha ha ha nimechekaje mie mwehh
 
Anajua huyu kitu basi??
Yeye huwa ni kujisifu tu hata usiku, dakika mbili tu hoi, keshalala

Mmmh, woga wa nini??
Huu ugomvi wa Tyson na Cheka
ushawahi 'kupigwa' wewe? Waujua utamu wake?ushauri wa bure wakati napiga jaramba kukutia wazimu anza kula nyanya chungu,ni muhimu kwa jambo litakalokufika muda si mrefu,ngoja niagize kabisa godoro lilizongushiwa nylon chumba kisije chafuka.
 
Mmmh, huna hata mafua ya binadamu sembuse mafua ya ndege??
Wee naye ushakuwa Bishanga makelele kama Shingela.

ushawahi 'kupigwa' wewe? Waujua utamu wake?ushauri wa bure wakati napiga jaramba kukutia wazimu anza kula nyanya chungu,ni muhimu kwa jambo litakalokufika muda si mrefu,ngoja niagize kabisa godoro lilizongushiwa nylon chumba kisije chafuka.
 
Anajua huyu kitu basi??
Yeye huwa ni kujisifu tu hata usiku, dakika mbili tu hoi, keshalala

Mmmh, woga wa nini??
Huu ugomvi wa Tyson na Cheka

huyu ukimpatia engo za vibration na mfyonzo lazima apate brain konkasheni.
 
ushawahi 'kupigwa' wewe? Waujua utamu wake?ushauri wa bure wakati napiga jaramba kukutia wazimu anza kula nyanya chungu,ni muhimu kwa jambo litakalokufika muda si mrefu,ngoja niagize kabisa godoro lilizongushiwa nylon chumba kisije chafuka.

Hii lugha wanayoielewa ni wachache sana shem.........mmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom