nani kama bishanga jamani?

nani kama bishanga jamani?

Hapana wifi inabidi tufanye utafiti vizuri... ukute mwenzetu hizo ni peza za karanga tu... hahaha! Tukimchangia tusije kuta anachukua hizo pesa kama change ya kuwapa omba omba njiani. lol

Hahahaha kwa Bishanga wala sikatai wifi lol

Chezeiya bepari la kihaya wewe!......aje basi nataka kumwomba mkopo lol!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe atapasuka libichwa leo lol

Wifi hongera zako na wewe......mwambie King'asti anilipe lile deni langu ASAP manake nataka nifuate nyayo zako !

Nangojea Paw aone haya manyanyaso kabla sijamuomba Natalia akifufuka anipeleke kwa shemeji zake wenye mahela. Mtoto wa kike mie sikuzaliwa kuteseka! Naanza na obagi, nafuatia carolaiti, kitaeleweka tu!
 
Hehehehe lol......afu ujue huyu Natalia mie huwa ananikumbusha Nazjaz lol......hebu tumia chemistry yako kugundua kama wana undugu!
 
Last edited by a moderator:
Mdodoro wa kiuchumi humsababishia, mtu infection , wanaita "Nervous system disorders diseases"
Huyu bepari mfilisiko umeshamfikisha hapo!
But uzuri The Secretary ameshaanza kumshughulikia tiba .
Tunamuombea kheri will get well soon!
Kaugonjwa kenyewe hakachelewi kupona.
 
AshaDii, naona siku hizi mnanitenga na sweetlady.
ngoja nimtafute kakako mie.

Hivi wifi King nikikutenga wewe nabaki kuwa AshaDii kweli? Sidhani... hahaha. Nitakuwa incomplete kabisa, yaan mawifi zangu mie siachani nao kabisa, hakuna talaka ya wifi kwetu. lol

BTW vaa badge upendeze zaidi kama mimi na wifi Sweetlady.. lol
 
i hate you bishanga kwa umbea,kila siku kupiga majungu tu humu ndani kuwajua watu na personal life zao...ukishirikiana na wajinga wenzako....sijui umepata nini tangu uanze kupika majungu...? babu zima hovyoooooooooo:eek2:
 
ccm hoyeeeee.....chama la wajanja chama la wakubwa... Nyani Ngabu nimjibuje Jestina? ushauri plizz
 
Last edited by a moderator:
Mdodoro wa kiuchumi humsababishia, mtu infection , wanaita "Nervous system disorders diseases"
Huyu bepari mfilisiko umeshamfikisha hapo!
But uzuri The Secretary ameshaanza kumshughulikia tiba .
Tunamuombea kheri will get well soon!
Kaugonjwa kenyewe hakachelewi kupona.

unanchekesha.
(source: faiza foxy).
 
Back
Top Bottom