nani kama bishanga jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nani kama bishanga jamani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, Sep 2, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
  ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. NORTHERN ROCK

  NORTHERN ROCK Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Bishanga uko juu siyo siri! Kipindi hiki umekopa bank ipi kiongozi? Hutaki hata mpambe? Madeni ushalipa weye??
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mmoja wapo walioficha zile hela kule uswis
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  shimo langu la buzwagi limetema mkuu!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe kweli mhaya. Nilipie na mimi basi jamani?
   
 6. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Maden ya NJE yanafanya kazi yake...
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Hakuna kama AshaDii bwana, umeona lebo yake nyeupe, safi kama nini sijui, Bishanga ni cha mtoto!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  nitonye!!!!!! ulipotelea wapi kamanda?@sweetlady jamani kwa nini ulimfanzia ndugu yangu? nitts huwezi amini yaani mara tu ulipopanda KLM kuelekea Harvard for your doctorate programme mkeo akaanza vibweka.Bila kupoteza muda nakuwekea singo ya mbaraka mwinshehe ikupe summary ya kila kitu:
  shemeji shemeji mbona wazima taa?
  shemeji shemeji wazima taa?
  wewe Vin Diesel wazimia nini taa?
  shemeji shemeji mbona wazima,
  ni ushemeji gani huo wa kuzima taa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Hivi na hela zote bado wewe ni mdaku. Afu ulisutwaga na haujakomaga! Mweeh!
  gfsonwin, njoo uone hii
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  'Shimo lako' limetema??
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Utanipa nin?
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mtasema kila kitu...oh bishanga epa,oh uswiss,oh rikmond,oh ripoti ya mkaguzi mkuu...semeni weeeeeeee usiku mtalala,si mnajua maji ya moto hayaunguzi nyumba?
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mmmmhhhh unasemaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wiiiiiiiiiivu mpaka unaleta mimatusi,mwone ndo mana gazeti lako lilifungwa na tiaraei.
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hivi siku hizi kusema ukweli ni udaku?
  gfsonwin ndo nani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Bishanga, bishanga, bishanga!! We endelea tu uone utakavyoishiwa utaenda wapi. Wenzako tulivyokupa michango ulipokuwa unadaiwa bank sasa waja hapa kujisifia! Ngoja ruttashobolwa aje hapa akitoka chachi.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  chezeya Bishanga weye,

  kuna dada anaitwa Natalia, tumekuteua ukamkague tafadhali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280

  Nitamuambia sweetheart Paw asikupe ban hata ukipumbalaizi kiasi gani. Ila Nyani Ngabu ndo awe anapewa ban kila wknd.
  deal?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  freemasons huyoooo!!!!!!!!!
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,062
  Likes Received: 24,061
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe unajua kuwa nakutafuta SANA?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...