Nani kakwambia?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kakwambia??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  NIMESOMA HII NIKAONA NIWEKE HAPA WAPENDWA NA KWA ALIEITUMA NAFIKIRI UKUE USIDANGANYE UMMA TENA JUA HIZI WEB ZINASOMWA NA WATOTO NA WENYE HSEHIMA ..UNAPOSEMA MTU AJIACHIE KWA WAANAUME KISA AMEFIWA NAMTOTO UNAJUA WANGAPI WAMEFIWA NA WAMEAMUA KUTULIA.

  POLE KWANZA BOKHE KWA YALIOKUKUTA ILA BINAFSI BADO SIFAGILII MAISHA ULIOISHI BBROTHER NAJUA NI NGUMU KUAMINI YALIOTOKEA ILA LAZIMA URUDI NYUMA UANGALIE ULIKOSEA WAPI NA WAPI UBADILIKE MBAYA ULINIMALIZA ULIPOULIZWA KUHUSU JAMAA YAKO WA BONGO UKDAI HAA MI SIJUI BANA KITAKACHOTOKEA NDIO HIKO HIKO SI UNAJUA MWANDISHI MAMBO YA MAPENZI.

  PILI SIMJUI ILA MWOMBE RADHI KWA ULICHOMTUSI..SIDHAN KWENDA MASHINDANO KAMA HAYO YANAWEZA KUKUONDOLEA UTU KWA YULE ULIEPENDANA NAE..KAMAUAMINI NENDA KAMUULIZE ABBY YUKO WAPI NA MAPENZI YAKE YA GAITANI KAMA ATULI NAE ARUFU YA BAHARINI DAR ES SALAAM HAYO NDIO MAPENZI.

  PENDA UPENDWE YALE YA TV YALIKUWA UMPOMPO WA MAPENZI ILA SIJAAMINI, BADO MSIBA WA MWANA WETU NDIO ULITUFANYA TUWE VILE LA HASHA TENA MWOMBE MUNGU AKUSAMEHE. VINGINE VYO KILA MACHANGU WANGEKUWA WAJANE WATUPU LAKINI WAJANE WENGI WANAJJIPENDA NA KUJIHESHIMU.

  UKISOMA YAKOBO MJANE MPAKA UPIE 60 WEWE BADO UKO NA JAMAA NI MTOTO TU NDIO MUNGU KAMPENDA ZAIIDI MWAMBIE AONGEZE SPEED MUNGU ATAFUNGUA MILANGO YA MWINGINE
  KILA LA KHERI

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]BHOKE ALIPATWA NA KITU KIBAYA SANA,PLS TUMSAMEHE BURE TU.....
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]Written by Mange[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: createdate, colspan: 2"]Monday, 20 June 2011 21:16[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]
  [​IMG]
  Ok, so I just read Bhoke’s interview alofanyiwa na imagazine. Yani baada ya kusoma hiki kipengele hapo chini, kwangu mimi it explained all her actions in the big brother house.
  Wanasema hakuna maumivu duniani kama maumivu ya kumzika mwanao wa kumzaa, na sidhani kama kuna yoyote kati yetu hapa aliepitia kitu kama hicho , na ukizingatia it only happened 1 yr ago.

  Im not saying her experience should justify her actions in the house but im saying sisi wote ni binadamu and we all react differently to such trauma,
  And as you can see ,anasema kilichomfanya akaenda big brother ni kumpoteza mtoto wake so haishangazi sana kuona alikuwa anatafuta mapenzi in the house.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. a

  allydou JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Crap huyo achana nae, ni malaya by nature, can't convince me kwamba by any reason alishindwa kujizua kufanya mapenzi live on earth like that, huo ni upuuzi, that to me justifies how prostite she is, hapo ni kwenye mwanga, gizani inakuwaje, lazima tgo anatoa tu huko. Nonsense. Kwa mwenye uzoefu na wanawake anaweza kunisaidia katika hili.
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu mwanamke ni mpuuzi, kafanya ngono then bado anajisifia, anajibu hovyo! Poor stupid woman. Sorry!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  Kwenye BIG BROTHER..she looked too old and dazed................................hivi penzi unaenda kulitafuta eneo lisilofaa na watu hata huwajui......................just wondering..............................my feeling is she is very frustrated gal........................she needs to cool down and life will get back to normal beats............................................................

  she is gonna be hurt again if she rushes love issues...............................randy men are gonna take advantage of her vulnerabilities..........................even here in TZ I can see them waiting to maul her...................She really need to forge a closer relationship with oue Messiah or i see her going nowhere................................................

  [​IMG]
   
 5. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watz tunaoishi Uganda tunatukanwa kwa sababu yake ***** huyo hana lolote.......................Sijui ataificha wapi sura ya bwana wake.
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  she aint worth a thread...
   
Loading...