nani kaapeliwa ?

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,832
1,048
m2 1 alifika kwa jirani yetu ilikuwa 2006 charambe
baada ya salam mama nakuonaga unauza mkaa vp mbona cku iz hamna
mama;naletewa na mume wangu kwa sasa kasafr
jamaa;mie nna sto yangu ntakuuzia gunia shs 12 baada ya shs14 walikubaliana magunia 6 jamaa alifika na magunia 3 akamuambia msukuma toroli akamalizie magunia yalobakia mama akatoa salio kwa vle alishaelekezwa stoo ilipo jamaa akasepa mskuma toroli na magunia 3 alifika tena akiwa na wa2 wa3 mama hana habar anaingza ndani magunia c jamaa wakaanza kudai hela
mama akawajbu mie nshampa yule mwenye stoo
wajamaa;ce yule ha2mjui kasema we mkewe na hela utatupa wewe
wakagundua kuna utapeli ushatendeka washkaj wakatak kuchukua mkaa waondoke mama kagoma kasema mka hautok keshanunua na upo kwake washkaj wakasma ilotapeliwa hela c magunia wanataka magunia yao na yule mama akafuate hela yake mama akawambia mie magunia yapo kwangu na nyie ndio mlotapeliwa kila m2 alikuwa anavutia kwake
na kila m2 hakutaka kuonekana katapeliwa "je nani alitapeliwa?"
 
Hata sijaelewa sijui kichwa changu kibovu, haya nawaachia msome mtakaoelewa nisaidieni na mimi
 

Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Anaeleweka kbs,alietapiliwa ni hao walioleta mkaa,maana wameshafikisha mkaa na mama kashalipa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…