Nani huyu jamani

Tatizo ni kwamba hawamfikii kwa uzuri ndo mana wanapanic....watu wa ajabuu
 
Sisi wapuuzi hahaha nani anataka heshima humu mi sikujiunga jf nipewe heshima inanipeleka wapi alaaa
Mama jioni shusha uzi msifie NN watu wazidi kunya na kuharisha,sijui watu wanaoishi nao majumbani mwaao wana hali gani kama tu wanaweza kupangia ambao hawawafahamu namna ya kuishii
Docta hoyeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…