Nani huyu jamani

Nani huyu jamani

Hivi kwanini watu wanakereka mtu akiweka uzi wake? Ulitaka apost picha yako wewe? Au picha ya mkeo? Wanaume wazima mnatokwa povuuu. Au mnadhani hili jukwaa la dini. Mnaboa sana kupangia wenzenu cha kupost as if mnawawekea nyie bundle. Kitu cha mtu kinakukwaza pita pembeni usicomment sio kuja kuandika kama vile we babake. Wote wazima humu tunajua tunachofanya.
Halafu wengine kujitia kuandika ufala humu mnakuja pm kuandika pumba zenu endeleeni.
Ni hiviii. Watanzania wengi ndivyo tulivyo kwenye kila kitu. Yaani mtu asipojua jambo basi anafikiri jambo hilo halipo duniani na anavyoona yeye inafaa basi watu wote waone inafaa. Ngoja nitoe mfano mmoja ambao najua utawakera baadhi ya watu lakini ndivyo ilivyo.
Kwa hapa kwetu Tanzania wengi wanajua kuwa ni haki yao na siwa kabisa kuwa wanaCCM lakini miyoni mwao wanaona wanaokuwa wanaCHADEMA hawana haki ya kuwa huko au kwa upande mwingine mtu anaona yuko sawa kuwa mwanaCHADEMA lakini rafiki yake hakuwa sawa kuwa mwanaCCM
 
Huwa tunaona tulicho nacho ni bora na asie upande nilipo ni mbaya. Hawajui kila mtu ana uhuru wa kufanya au kuwa anavyotaka kuwa ilhali havunji sheria za nchi wala za sehemu alipo.
Kwa mfano humu hata nikipost picha yangu sitakua nimevunja sheria za JF ila watakuja watu oooh kwanini uweke picha yako mara toa mara takataka gani sijui.
Na kuna watu ni maperfectionist. Wanaamini mawazo yao basi baada ya msahafu na bible mawazo yao ndo yanatakiwa kutumika.
Wapo wengi humu wakiongozwa na chizi mmoja anajijua.
Kwa mfano ukiweka kitu unamsifia mtu mwingine anakuita malaya sijui nini ila baadae anakuja pm anakwambia ana nyege sijui nini. Sasa hapo unajua nani malaya ila kwa kuwa yeye amezoea kuwaona wengine hawana akili bali yeye akiwa sehemu anayojua haonekani ndo na yeye anaonyesha ujinga wake.
Tunawavumilia tu watu kama hao maana hatuwezi wote kuwa na akili ya kufanana ya kujua nini kibaya nini kizuri.
 
Aah kumbe docta?

Enjoy life, you will never get out of it alive. Mbona sisi tunapanga foleni kwa wadangaji warembo mjini na tunawalipa pesa ndefu tu ili vibamia vyetu vichovye chumvi yao...
 
Kama huko siasan panakera ,bora nibaki chit chat kabisa
 
Aah kumbe docta?

Enjoy life, you will never get out of it alive. Mbona sisi tunapanga foleni kwa wadangaji warembo mjini na tunawalipa pesa ndefu tu ili vibamia vyetu vichovye chumvi yao...
Eti vibamia [emoji2][emoji2][emoji2]. Kupanga foleni ndo habari ya mjini.
 
Ngoja nifanye mazoezi ya kisaikolojia kwanza maana sijawahi kutibuliwa na mtu JF kama anavyonitibua yule mtu!

Ukimleta hapa ladha ya uzi wote inasepa.

Sema siku hizi naona watu wengi wanamchana.
Haahahah ananifurahisha sana mimi
 
Huwa tunaona tulicho nacho ni bora na asie upande nilipo ni mbaya. Hawajui kila mtu ana uhuru wa kufanya au kuwa anavyotaka kuwa ilhali havunji sheria za nchi wala za sehemu alipo.
Kwa mfano humu hata nikipost picha yangu sitakua nimevunja sheria za JF ila watakuja watu oooh kwanini uweke picha yako mara toa mara takataka gani sijui.
Na kuna watu ni maperfectionist. Wanaamini mawazo yao basi baada ya msahafu na bible mawazo yao ndo yanatakiwa kutumika.
Wapo wengi humu wakiongozwa na chizi mmoja anajijua.
Kwa mfano ukiweka kitu unamsifia mtu mwingine anakuita malaya sijui nini ila baadae anakuja pm anakwambia ana nyege sijui nini. Sasa hapo unajua nani malaya ila kwa kuwa yeye amezoea kuwaona wengine hawana akili bali yeye akiwa sehemu anayojua haonekani ndo na yeye anaonyesha ujinga wake.
Tunawavumilia tu watu kama hao maana hatuwezi wote kuwa na akili ya kufanana ya kujua nini kibaya nini kizuri.
Weka picha yako basi.
 
Sema unafurahi watu wanavyommind na yeye asivyokata tamaa. Dada king'ang'anizi yule aiswe wale ndio huwa hawaachiki kwa namna yoyote ile.
Yaan mi akili zangu bana huwa napenda mambo kama hayo nafurahi mwee sitaki kukasirika kabisa
Nikiona watu wanamvyotimua halaf ndio anawakazania pita na huku kuna kitu nimeshusha yaan nakaaga chini nacheka kama mwehuuu
 
Back
Top Bottom