Kabla ya kumwaga povu zao wawe wanaweka sura zao kwanzaShunie nakojoooooooaaaaa ,tuwalete wao ili iweje kwanza wana sura za kuwekwa hapa mmmmssssiuuuu ,,watupishe hapa ukiona mtu anapovuka jua ni jitu baya linatishaa hata huwezi muangalia,,wasubiri wanaowapenda watawasifia
Fanya ulete mama tuone tufurahi sie wanataka tuwaze viwanda masaa yote tuliviahidi sie?
Kama utakuwa jini mwenye pesa sitakuanzishia mthread[emoji7]Mkuu unataka kuniona live? Tatizo tunaogopa humu wanaume wa humu akikuona tofauti na mawazo yake alivyokufikilia anakuja kukuanzishia mthread ana sura mbaya anatisha
Sio wote bwana mbona shemeji ako hajaja kuninanga humu.Mkuu unataka kuniona live? Tatizo tunaogopa humu wanaume wa humu akikuona tofauti na mawazo yake alivyokufikilia anakuja kukuanzishia mthread ana sura mbaya anatisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao ndio nawapenda mie jaman wenye misura ya kutisha yaan me na wanaume mahandsome kama unaowapenda tofautiMamamaaaaa mim hapanaa hao wanaotoa povu sasa waje kwako
Acha mbwembwe weweKabisa akinichumu nazimiaa
Hovyo halaf anajifanya kukuona we wa hovyo zaidiNa hapo sasa ukute nae hovyo tu
Ahahhaha tupo tofauti wa kunyumbaMi bwana sura sio shida kama ana akili na ana hela ntampenda. Napenda sana wanaume wenye akili na wenye sura nzuri kidogo. Sura ngumu siwezii. Mi mbaya bwana mbaya nae wa nini.
Umeona ushaanza mambo ya kuandika thread ndio wale wale tu me endelea kuniona tu kama hiviKama utakuwa jini mwenye pesa sitakuanzishia mthread[emoji7]
Sijawah kuomba kura nikasema ntaleta viwanda wala sijui manini,,wanitue babu nna amani kabisa kuna watu kama watatu wananipa raha sanaa akiwepo docta pia nasahau karaha kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au hivyo viwanda sisi tulimchagua huyo mzee wao wa viwanda life's too short fanya unachoona kinakufurahisha na kukupa amani ya moyo
Kwani wa kunyumba huyu shemeji uliyemuanzishia thread ni wa humu jf ule uzi sijausoma mrefu sanaSio wote bwana mbona shemeji ako hajaja kuninanga humu.
Mimi awe mzuri tu hela sitaki tutazipata tu,akiwa nazo poa tuMi bwana sura sio shida kama ana akili na ana hela ntampenda. Napenda sana wanaume wenye akili na wenye sura nzuri kidogo. Sura ngumu siwezii. Mi mbaya bwana mbaya nae wa nini.
Shunieeee[emoji24] [emoji24] [emoji24] don't kick me out beautiful hipsUmeona ushaanza mambo ya kuandika thread ndio wale wale tu me endelea kuniona tu kama hivi
MwaahAcha mbwembwe wewe
Hayo ndio mambo shida zao wapambane nazo wenyeweSijawah kuomba kura nikasema ntaleta viwanda wala sijui manini,,wanitue babu nna amani kabisa kuna watu kama watatu wananipa raha sanaa akiwepo docta pia nasahau karaha kabisa
SijaliHuyu atakuwa anayezibua choo chako.
KabisaaHayo ndio mambo shida zao wapambane nazo wenyewe
Ni nani kwani?? Amaonekana mchele mchele.Sijali
KakeketwaMmh sasa ukikutana naye si utapiga bao kabla hata hujaguswa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni nani kwani?? Amaonekana mchele mchele.