Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
Nchi hii inakuwaje na waziri ambaye utambulisho wake una utata hivi? Mbona ukiuliza Majaliwa Kasim utaamabiwa ni wa Ruangwa Lindi bila kila mtu kusema lake? Magufuli weka mzawa pale na warundi nao wahahakikiwe pia.
 
Ndo maana huyu mama ni kifaa cha maana
46fd8c00e2228c40c900b6449dbbf004.jpg
Mtz halisi
 
Kwan ameolewa nasikia aliwahi kuwa Demu Wa mjeda mmoja hivi...... Mr Mk.....i
 
Kairuki was born on September 10, 1976. She completed her schooling from the Zanaki Girls Secondary School in 1997. She received her Bachelor of Laws from the University of Hull in England in 2001. She went to finish a post-graduate diploma in Law from the Staffordshire University in collaboration with Central Law Training in 2002. She worked in the Attorney General's chambers as a legal secretary and lawyer between 2004 and 2008. Kairuki then moved to the private sector as Head of Department of the Ethics, Compliance and Governance at VODACOM Group PTY.

Source Wikipedia
 
Ivi naomba kuuliza Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment na Utawala Bora Angela Kairuki alizaliwa mkoa gani na kwao kabisa ni wapi?
Ni mzaliwa wa tanga ila ameolewa na mbelwa kairuki ambae ni chotara wa kihaya na kizigua
 
Huyu mama ana heshima jamani hata akiwa anasalimiana na makamu wa rais ambaye ni mwanamke lazima atainama kidogo kama heshima makabila ya nyanda za juu kusini kuna utamaduni huu namkubali sana Ni mke " material"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom