kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Kwao india sema huyo toleo la mwisho
Mnakula tu ubuyuuuu!Ivi naomba kuuliza Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment na Utawala Bora Angela Kairuki alizaliwa mkoa gani na kwao kabisa ni wapi?
Upo vizuriNi mpare na 2015 alikuwa agombee jimbo la same Magharibi lakini Mathayo D Mathayo yule aliyekuwa waziri mzigo alimzidi kura za maoni
Waandika hotuba za JK walikuwa ni January Makamba then Togolani Mavura,mbona anatumia surname ya Kairuki ?wewe ndiye unakaribia, kupatia, Kaolewa na Balozi Mbwelwa mwandishi wa hotuba za JK wa zamania ambaye kwa sasa ni balozi. sio mhaya wala mkomoro
IshinabulandiIkungulyabashashi!
Jidalabudiga!
Tunafanya uhakiki,tusijekuwa tunahakikiwa vyeti na mtu ambaye ni fekiTunaulizana makabila kwani tunatambika? ebo! hivi mmekunywa uji wa magunzi nini nyie watu? mmekosa cha kujadili kwani?
Hivyo viingereza vyako havijasaidia kujibu swali lililoulizwaKairuki was born on September 10, 1976. She completed her schooling from the Zanaki Girls Secondary School in 1997. She received her Bachelor of Laws from the University of Hull in England in 2001. She went to finish a post-graduate diploma in Law from the Staffordshire University in collaboration with Central Law Training in 2002. She worked in the Attorney General's chambers as a legal secretary and lawyer between 2004 and 2008. Kairuki then moved to the private sector as Head of Department of the Ethics, Compliance and Governance at VODACOM Group PTY.
Source Wikipedia
Kaongea kingereza kibovuuuu hata darasa la pili wa shule pendwa anamuacha mbali.Hivyo viingereza vyako havijasaidia kujibu swali lililoulizwa
Usikute kwa mme wake hana hiyo heshimaHuyu mama ana heshima jamani hata akiwa anasalimiana na makamu wa rais ambaye ni mwanamke lazima atainama kidogo kama heshima makabila ya nyanda za juu kusini kuna utamaduni huu namkubali sana Ni mke " material"
Siyo yeye, kasema WikipediaKaongea kingereza kibovuuuu hata darasa la pili wa shule pendwa anamuacha mbali.

Jiambilishe kwanza wewe mtoa post wewe ni nani na unaishi wp na pia umezaliwa wp.halafu mie ntkujibu maswali yako yoote kuhusu kairuki.na km unafkiri yupo pekee.unajidanganya.AMEOLEWA.Ivi naomba kuuliza Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment na Utawala Bora Angela Kairuki alizaliwa mkoa gani na kwao kabisa ni wapi?
Jirani yake Ombeni Sefue Suji upareni hukoKilimanjaro-Same,milima ya Upare ya Suji
Anatokea Same KilimanjaroIvi naomba kuuliza Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment na Utawala Bora Angela Kairuki alizaliwa mkoa gani na kwao kabisa ni wapi?
Swali lipi halijajibiwa mkuu.Hivyo viingereza vyako havijasaidia kujibu swali lililoulizwa