Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
Huyu kwao ndiyo kule Mkulu aliposema kila janga wao........

Matetemeko wao........

Gonjwa la ukimwi limeanzia kwao.......

Mto ngono uko kwao........

Katerero kwao.........

Nadhani hadi hapo utakuwa umenipata kujua huyo mdada kwao wapi.
 
Huyu kwao ndiyo kule Mkulu aliposema kila janga wao........

Matetemeko wao........

Gonjwa la ukimwi limeanzia kwao.......

Mto ngono uko kwao........

Katerero kwao.........

Nadhani hadi hapo utakuwa umenipata kujua huyo mdada kwao wapi.
Kairuki ni surname ya mme wake ambaye ndiye wa huko na yeye anaitumia ila yeye mwenyewe sio asili yake huko!
 
Asili yake ni comoro
Ndo maana huyu mama ni kifaa cha maana
46fd8c00e2228c40c900b6449dbbf004.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom