Umeingiza siku! Hizo huduma zote za jamii ulizotaja ni wajibu wa serikal kupeleka kwa jamii! Serikal ikusanye kodi harafu maji wapeleke Chadema! hayo maandamano mliyotangaza ya tr 31 mtakuwa mnapeleka maji!!!!Maskini wee wananchi wa Tanzania hawahitaji kufikishiwa ujumbe wa UKUTA au wa Katiba mahitaji makubwa ya wananchi ni kufikishiwa maendeleo.Wapate maji safi,huduma bora za afya elimu bora na kuondokana na Umaskini.Mkakati wa CHADEMA umeshindwa kuwafikia wananchi kwa kile wanachokitaka.Kaulize hata mijini UKUTA ni kitu gani hawakielewi lakini waulize kuhusu madawati watakwambia wanetu sasda hivi hawakai chini.Uliza ELIMU bure watakwambia sasa hivi watoto wanaandikishwa bure hatulipi chochote.
CHADEMA wako nyuma ya wakati watu wanahitaji maendeleo sio maneno ya Porojo sijui UKUTA sijui BUnge LIVE,Sijui MABALOZI wa nje hawana uhuru wa kutembelea watu kiholela,sijui uhuru wa kuchonga sana midomo na kuongea kama huna breki haupo.!! Hayo mambo ya kijinga si mahitaji halisia wanayohitaji wananchi ndio maana UKUTA mitaani umekosa washabikiaji .Washabikiaji wengi wako mitandaoni na ofisi za makao makuu ya CHADEMA