Nani hasa ni 'think-tank' wa CHADEMA? Anapaswa asajiliwe CCM

ikumbukwe kuwa nia na mazumuni ya UKUTA ni kuwafikishia wananchi kile ambacho chadema wanakiamini kuwa mkuu wa kaya anavunja katiba ambayo alihapa kuitetea na kuilinda.

Maskini wee wananchi wa Tanzania hawahitaji kufikishiwa ujumbe wa UKUTA au wa Katiba mahitaji makubwa ya wananchi ni kufikishiwa maendeleo.Wapate maji safi,huduma bora za afya elimu bora na kuondokana na Umaskini.Mkakati wa CHADEMA umeshindwa kuwafikia wananchi kwa kile wanachokitaka.Kaulize hata mijini UKUTA ni kitu gani hawakielewi lakini waulize kuhusu madawati watakwambia wanetu sasda hivi hawakai chini.Uliza ELIMU bure watakwambia sasa hivi watoto wanaandikishwa bure hatulipi chochote.

CHADEMA wako nyuma ya wakati watu wanahitaji maendeleo sio maneno ya Porojo sijui UKUTA sijui BUnge LIVE,Sijui MABALOZI wa nje hawana uhuru wa kutembelea watu kiholela,sijui uhuru wa kuchonga sana midomo na kuongea kama huna breki haupo.!! Hayo mambo ya kijinga si mahitaji halisia wanayohitaji wananchi ndio maana UKUTA mitaani umekosa washabikiaji .Washabikiaji wengi wako mitandaoni na ofisi za makao makuu ya CHADEMA
 
joined Aug 9, 2015
 
Nadhan Kweli ni kosa la kitaalamu polisi kuzunguka mitaani na silaha za kuvita kuvunja ukuta loh!! Sasa raia wema wanauliza kuna nini? Jibu kuvunja ukuta!! What kind of publicity people will require in earth??
 
IMG-20160819-WA0027.jpg
Sasa nyinyi ccm shida yenu mke wa mtu Mombasa ndio mnamtuma kutowa matamko ya kilevi eti uvccm waandamane.
Stupidity.

Huyo hapo pichani juu akiwa "bize" kwa mumewe.
 
Chama cha siasa ni ubunifu. Ubunifu ulio maarufu. Kubuni ni jambo moja,kufanikiwa ni jambo lingine. Kubuni ni kuonesha uhai wa fikra za viongozi na wanachama wao. Kubuni nako ni siasa.

Kati ya vyama vya siasa hapa nchini,CHADEMA ni wabunifu. Ingawa ukweli huo unaniuma hata mimi,sina budi kuusema. Ili nipate amani. Ni wao waliobuni operesheni mbalimbali za kichama. Ni wao waliotaja elimu bure na vita dhidi ya ufisadi kwa mara ya kwanza.

Wengi tumenufaika na ubunifu wao. Wengi tumeshughulika na mambo yao. Mwanzoni,nilidhani think-tank wao ni Dr. Slaa. Lakini,pamoja naye kuwaacha mkono ubunifu unaendelea. CCM tumechoka kukopi na kupesti. Tumechoka kudandia kwa gia hoja. Tumsajili think-tank wao atusaidie.

Ubunifu wao,kwakweli,unasumbua. Tuchangamke wasitufunike!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

nimependa hii SERIES MPIGA NGOMA CHADEMA NA MNENGUAJI SIRIKALI
hahahahahhahahahahahahahahhahahaha AKILI NI NYWELE NAHISI HAWA VIONGOZI WETU WANAUPARA
 
CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.
Mazingira ya ushindani wa hizo timu yakoje? Kama refa anayechezesha ni shabiki wa timu mojawapo shindani unadhani kuna mashindano hapo?
 
Hakika nawasubiri kwa hamu sana. Bahati mbaya sana huku kwetu Songea watu wameshaachana na CHADEMA. Ningewatandika ile mbaya
Polisi watakarishwa down tena kwa nguvu kubwa na wananchi halafu jeshi la wananchi halitakubali polisi kuuwa wananchi ngoma draw Magufuli na Polisi Wananchi na jeshi lao tuone sasa nani mshindi
 
Mazingira ya ushindani wa hizo timu yakoje? Kama refa anayechezesha ni shabiki wa timu mojawapo shindani unadhani kuna mashindano hapo?
Hawajawahi kushindwa CCM inabebwa na tume na polisi na 2015 ndi mwisho wa kubebwa
 
Chama cha siasa ni ubunifu. Ubunifu ulio maarufu. Kubuni ni jambo moja,kufanikiwa ni jambo lingine. Kubuni ni kuonesha uhai wa fikra za viongozi na wanachama wao. Kubuni nako ni siasa.

Kati ya vyama vya siasa hapa nchini,CHADEMA ni wabunifu. Ingawa ukweli huo unaniuma hata mimi,sina budi kuusema. Ili nipate amani. Ni wao waliobuni operesheni mbalimbali za kichama. Ni wao waliotaja elimu bure na vita dhidi ya ufisadi kwa mara ya kwanza.

Wengi tumenufaika na ubunifu wao. Wengi tumeshughulika na mambo yao. Mwanzoni,nilidhani think-tank wao ni Dr. Slaa. Lakini,pamoja naye kuwaacha mkono ubunifu unaendelea. CCM tumechoka kukopi na kupesti. Tumechoka kudandia kwa gia hoja. Tumsajili think-tank wao atusaidie.

Ubunifu wao,kwakweli,unasumbua. Tuchangamke wasitufunike!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu mchelewa think tank wa chadema ni huyo mwenye shati jeupe katika picha
14022289_161032380997254_3157505689858210768_n.jpg
 
Umewakurupua wenzio wa Lumumba, yehodaya kafunga kazi mpira ni magoli. CCM ni wabunifu wa magoli hata "goli la mkono" tume ya uchaguzi inalijua hilo.
 
Hakika nawasubiri kwa hamu sana. Bahati mbaya sana huku kwetu Songea watu wameshaachana na CHADEMA. Ningewatandika ile mbaya
Kumbe ndo maana mmemnunua m/kiti wa cdm songea mmempa uenyekiti wa parokia?kweli huko hakuna tena mbunifu.
 
Chama cha siasa ni ubunifu. Ubunifu ulio maarufu. Kubuni ni jambo moja,kufanikiwa ni jambo lingine. Kubuni ni kuonesha uhai wa fikra za viongozi na wanachama wao. Kubuni nako ni siasa.

Kati ya vyama vya siasa hapa nchini,CHADEMA ni wabunifu. Ingawa ukweli huo unaniuma hata mimi,sina budi kuusema. Ili nipate amani. Ni wao waliobuni operesheni mbalimbali za kichama. Ni wao waliotaja elimu bure na vita dhidi ya ufisadi kwa mara ya kwanza.

Wengi tumenufaika na ubunifu wao. Wengi tumeshughulika na mambo yao. Mwanzoni,nilidhani think-tank wao ni Dr. Slaa. Lakini,pamoja naye kuwaacha mkono ubunifu unaendelea. CCM tumechoka kukopi na kupesti. Tumechoka kudandia kwa gia hoja. Tumsajili think-tank wao atusaidie.

Ubunifu wao,kwakweli,unasumbua. Tuchangamke wasitufunike!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu,
Ungesema tu UKUTA... maana ni wimbo unaowachezesha almost wote... Kila mtu UKUTA, UKUTA...

Polisi UKUTA
Raisi UKUTA
Waziri UKUTA
Maandamano ya UVCCM hapo 31/8/2016 UKUTA
wanaCCM UKUTA
Wasomi UKUTA
Viongozi wa dini na waumini wao UKUTA
Mitandano ya kijamii UKUTA

Na kuongezea point ya think pad uliyoisema kumbuka M4C............... Magufuli For Change yaani mliibadili tu kiaina
 
Back
Top Bottom