Nani hasa ni 'think-tank' wa CHADEMA? Anapaswa asajiliwe CCM

Maskini wee wananchi wa Tanzania hawahitaji kufikishiwa ujumbe wa UKUTA au wa Katiba mahitaji makubwa ya wananchi ni kufikishiwa maendeleo.Wapate maji safi,huduma bora za afya elimu bora na kuondokana na Umaskini.Mkakati wa CHADEMA umeshindwa kuwafikia wananchi kwa kile wanachokitaka.Kaulize hata mijini UKUTA ni kitu gani hawakielewi lakini waulize kuhusu madawati watakwambia wanetu sasda hivi hawakai chini.Uliza ELIMU bure watakwambia sasa hivi watoto wanaandikishwa bure hatulipi chochote.

CHADEMA wako nyuma ya wakati watu wanahitaji maendeleo sio maneno ya Porojo sijui UKUTA sijui BUnge LIVE,Sijui MABALOZI wa nje hawana uhuru wa kutembelea watu kiholela,sijui uhuru wa kuchonga sana midomo na kuongea kama huna breki haupo.!! Hayo mambo ya kijinga si mahitaji halisia wanayohitaji wananchi ndio maana UKUTA mitaani umekosa washabikiaji .Washabikiaji wengi wako mitandaoni na ofisi za makao makuu ya CHADEMA
Umeingiza siku! Hizo huduma zote za jamii ulizotaja ni wajibu wa serikal kupeleka kwa jamii! Serikal ikusanye kodi harafu maji wapeleke Chadema! hayo maandamano mliyotangaza ya tr 31 mtakuwa mnapeleka maji!!!!
 
Kwa kweli wasomi waliopo CCM hawakitendei haki chama chao. Wapowapo tu. Utasikia professa Mbarawa, Maghembe, Mhongo n.k. Mnafanya nini? Yaani nimeamini CCM bila vyombo vya dola hasa Polisi hakuna kitu. Nimeamini maneno ya Ndugai kwamba ukiona mpinzani kafanikiwa kushinda uchaguzi na kuingia bungeni ni wa kumheshimu na kumchukulia kwa umakini na uvumulivu kwa sababu amepitia machungu mengi. Hivi kama kweli huyu jamaa alishinda urais kwa nini polisi walivamia kituo cha kukusanya na kuhesabu kura za UKAWA? wakavamia na kituo cha sheria na haki za binadamu. Nahisi huyu mkuu wa kaya anajua kitu, si bure. Anajua hawa jamaa wana watu wengi mitaani kuliko yeye. Mimi nafikiri angemshukuru Lowassa kwa sababu bila watu wa Lowassa kumpigia kura pale Dodoma hangekuwa na hicho cheo alicho nacho. Nani anabisha? Wale walioimba "tunaimani na Lowassaaaa! Oya oya oyaaaaa! Ndio waliompigia Magu kura kumkomoa Bernard.
 
wanasema kwamba wana Mungu. kwahiyo huenda Mungu anapenda wajawake wajue vitu, hivyo anavipenyeza kwenye Chadema, ndo maana inaonekana Ubunifu kwenye macho ya wengi.
 
Chama cha siasa ni ubunifu. Ubunifu ulio maarufu. Kubuni ni jambo moja,kufanikiwa ni jambo lingine. Kubuni ni kuonesha uhai wa fikra za viongozi na wanachama wao. Kubuni nako ni siasa.

Kati ya vyama vya siasa hapa nchini,CHADEMA ni wabunifu. Ingawa ukweli huo unaniuma hata mimi,sina budi kuusema. Ili nipate amani. Ni wao waliobuni operesheni mbalimbali za kichama. Ni wao waliotaja elimu bure na vita dhidi ya ufisadi kwa mara ya kwanza.

Wengi tumenufaika na ubunifu wao. Wengi tumeshughulika na mambo yao. Mwanzoni,nilidhani think-tank wao ni Dr. Slaa. Lakini,pamoja naye kuwaacha mkono ubunifu unaendelea. CCM tumechoka kukopi na kupesti. Tumechoka kudandia kwa gia hoja. Tumsajili think-tank wao atusaidie.

Ubunifu wao,kwakweli,unasumbua. Tuchangamke wasitufunike!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
"hiyo ndio chadema"
by Mwanakotide
CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.
wangeshindaje Urais baada ya Polisi kuwavamia katika Tallying Centre na Kuvuruga Electrola Vote Data Base?
Usiseme kombe lolote,tumekosa ligi kuu tu ila mengine tumebeba!Angalia kwa mara ya kwanza majiji mengi yanaongozwa na upinzani
mwambie huyo Gamba!na 2020 mwanza jiji inarudi UKAWA!
CCM huwa haishindi chaguzi
huwa inatangazwa mshindi tu!bila n.e.c c.c.m wepesi kama sufi!
 
za mwizi arobaini wataiba we mpaka watalazimisha wameanza na zanzibar, huku TZ BARA wanalazimisha maeneo mengi wanakoshindwa ubunge za mwizi arobaini bana kama si leo kesho, au 2020 au hata 2100 za mwizi arobaini tu
 
Chama cha siasa ni ubunifu. Ubunifu ulio maarufu. Kubuni ni jambo moja,kufanikiwa ni jambo lingine. Kubuni ni kuonesha uhai wa fikra za viongozi na wanachama wao. Kubuni nako ni siasa.

Kati ya vyama vya siasa hapa nchini,CHADEMA ni wabunifu. Ingawa ukweli huo unaniuma hata mimi,sina budi kuusema. Ili nipate amani. Ni wao waliobuni operesheni mbalimbali za kichama. Ni wao waliotaja elimu bure na vita dhidi ya ufisadi kwa mara ya kwanza.

Wengi tumenufaika na ubunifu wao. Wengi tumeshughulika na mambo yao. Mwanzoni,nilidhani think-tank wao ni Dr. Slaa. Lakini,pamoja naye kuwaacha mkono ubunifu unaendelea. CCM tumechoka kukopi na kupesti. Tumechoka kudandia kwa gia hoja. Tumsajili think-tank wao atusaidie.

Ubunifu wao,kwakweli,unasumbua. Tuchangamke wasitufunike!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hizi operations hazibuniwi chadema Bali zinaletwa na wazungu huku cdm no kupewa kuhamasisha tu ni njia maalum ya uhamsishaji kwa minajili ya kuanzisha fujo na gharama za operations hizi zinaletwa na wenye operesheni nchi za magharibi
 
Hahahahahaaaaa! Yaani Think Tank wa CHADEMA asajiliwe CCM ili tushindwe kwenye uchaguzi? Haiwezekani hata kidogo
Wapinzani still wanaamini walishinda uchaguzi ila hawakutangazwa kushinda, na inadaiwa hapo ndipo chanzo cha kuzuia mikutano na maandamano hadi 2020 kilipo!
 
CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.
Wangeshindaje Urais ilihali Polisi walitumika kuwazima??? Kunyang'anya kompyuta nk. Msijitoe ufahamu
 
Chama cha siasa ni ubunifu. Ubunifu ulio maarufu. Kubuni ni jambo moja,kufanikiwa ni jambo lingine. Kubuni ni kuonesha uhai wa fikra za viongozi na wanachama wao. Kubuni nako ni siasa.

Kati ya vyama vya siasa hapa nchini,CHADEMA ni wabunifu. Ingawa ukweli huo unaniuma hata mimi,sina budi kuusema. Ili nipate amani. Ni wao waliobuni operesheni mbalimbali za kichama. Ni wao waliotaja elimu bure na vita dhidi ya ufisadi kwa mara ya kwanza.

Wengi tumenufaika na ubunifu wao. Wengi tumeshughulika na mambo yao. Mwanzoni,nilidhani think-tank wao ni Dr. Slaa. Lakini,pamoja naye kuwaacha mkono ubunifu unaendelea. CCM tumechoka kukopi na kupesti. Tumechoka kudandia kwa gia hoja. Tumsajili think-tank wao atusaidie.

Ubunifu wao,kwakweli,unasumbua. Tuchangamke wasitufunike!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Napenda uzi zako mzee 2pa

Karibu kolelo upate glass ya ulanzi
 
Back
Top Bottom