Nani hasa ni 'think-tank' wa CHADEMA? Anapaswa asajiliwe CCM

CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.
kijana...!Kama uchaguzi ungekuwa fair , CCM ingeshinda wapi! Hujui kilichotokea October 2015?
 
ukweli mchunga asante mzee tupatupa kwa kulijua hilo, ukweli ni kwamba operation UKUTA imefanikiwa kwa 85% kabla ata ya tarehe moja, ccm imeshindwa kujua mtego wa chadema, nao ccm ikaingia miguu miwili na matokeo yake ujumbe wa maudhui yamefika kwa wananchi bila ata maandamano wala mkutano wa siasa, ikumbukwe kuwa nia na mazumuni ya UKUTA ni kuwafikishia wananchi kile ambacho chadema wanakiamini kuwa mkuu wa kaya anavunja katiba ambayo alihapa kuitetea na kuilinda.
kwa minajili hiyo ccm wakaingia kichwa kichwa kupambana na ukuta, kwakuwa ndio chama tawala imepelekea vyombo vya dola asa polisi nao kuingia kichwa kichwa kupambana na UKUTA, na matokeo yake wao ndio wakawa wasambazaji wa UKUTA uku wakisahau kuwa UKUTA ni idea ipo vichwani, UKUTA sio maandamano bali ni fikra ambapo uwezi kuzitoa kichwani kwa mtu ,ila maandamano yaliwekwa ili zile idea zipate kuwafikia wananchi as the result ccm imejikuta ikiitangaza UKUTA bila kujijua, nachelea kusema kwamba UKUTA imefanikiwa kwa 85% kabla ata ya tarehe moja.
UVCCM wamestukia hii wakati ni too late, ndio mana na wao wakatangaza maandamano mwisho wa mwezi huu.
kwa minajili hiyo na ni ukweli usiopingika chadema kuna great thinker wanaotumia akili za juu kufikili kisiasa kuliko chama tawala, natambua kuwa chama tawala kuna wasomi wengi kuliko chadema, je wapo huru kushilikisha akili zao na zikafanyiwa kazi?
You have said it all
 
Ila seriously CCM ina shida!!! Kwa ile barua feki ya zuio la mahakama, barua feki ya jaji Kaganda inadhihirisha wazi CCM hakuna thinktank za maana!!
CCM wanategemea figisu kwa kutumia serikali.
Ndio maana wanaweweseka mpaka jeshi la polisi ndilo linaloandamana mitaani kwa sasa..Chezea UKUTA wewe
 
Jana nilikuwa sehemu kwa mjadala kama huu kiukweli jumuia za chama zimelala kuanzia uvccm mpaka wazazi labda ni aina za siasa zinazo endeshwa ndo zinatia uoga
 
UVCCM wamestukia hii wakati ni too late, ndio mana na wao wakatangaza maandamano mwisho wa mwezi huu.
kwa minajili hiyo na ni ukweli usiopingika chadema kuna great thinker wanaotumia akili za juu kufikili kisiasa kuliko chama tawala, natambua kuwa chama tawala kuna wasomi wengi kuliko chadema, je wapo huru kushilikisha akili zao na zikafanyiwa kazi?
Mkuu, UVCCM ni mambulula tu, Lumumba wanataka kufanya mchezo wa kuigiza.
Kitakachotokea ni kwamba UVCCM wataomba kibali cha kuandamana, then watanyimwa ili ku justify kwamba hata CCM wamenyimwa kibali, nyie CHADEMA ni nani mpaka tuwape?
Yani akili za kitoto kabisa.
 
CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.

Ukiona hivyo ujue wanatafuta sababu za kuahirisha maandamano baada kuona muziki wa Polisi.
 
Mkuu, UVCCM ni mambulula tu, Lumumba wanataka kufanya mchezo wa kuigiza.
Kitakachotokea ni kwamba UVCCM wataomba kibali cha kuandamana, then watanyimwa ili ku justify kwamba hata CCM wamenyimwa kibali, nyie CHADEMA ni nani mpaka tuwape?
Yani akili za kitoto kabisa.

UVCCM wana haki ya kuomba kibali na vile vile wanaweza kukubaliwa au kukataliwa. Vyovyote iwavyo nao hawako juu ya sheria. Sasa nyie leteni ukaidi wenu mumfuate nguli wenu wa sheria muone.
 
Vijana wa kitengo cha propaganda cha CCM hawajawahi kuiona hata tiketi ya ndege. Wamechukua 'boarding pass' ya kughushi wakaiweka mtandaoni na kuifananisha na tiketi ya ndege kwa lengo la kumchafua Freeman Mbowe, mwishowe wameumbuka.
 
Wapi Shaka..tehee mwenye Mali anamhitaji Mombasa.UVCCM nao wataandamana kuonyesha uwezo wa kukata nyonga na vidole juu
1471201800919.jpg
 
Back
Top Bottom