Nani hajawahi kuumizwa!!!!

Tolowski

Senior Member
Apr 28, 2011
122
20
Juzi nilikuwa nasikiliza huu mwimbo mpya wa lady jd and Mr.Blue, nilishawahi kupenda!! Nyimbo hii ilinigusa sana and nikajiuliza kama kuna binadamu hapa tanzania/duniani above the age of 25 hajawahi kuumizwa na mpenzi/wapenzi wake!! Naamini hakuna mtu ambaye hajawahi kutendwa katika love!! Na kila mtu ana hadithi yake jinsi alivyoteswa/tendwa. Mimi mpenzi wangu alinikimbia/alinitenda nikiwa chuo mwaka wa kwanza mwaka 2008, nilipotafuta kisa nikagundua kuwa alitongozwa na jamaa ambaye alikuwa ameshamaliza chuo and alikuwa amepata kazi benki, so msichana kwa tamaa ya fedha akakubali akanitosa mwanafunzi, mbaya zaidi mimi ndio niliwakutanisha na kuwatambulisha!!ILINIUMA SANA HIYO ISHU!! Bahati nzuri/sijui kama ni bahati nzuri jamaa alimtosa! Now nipo chuo mwaka wa mwisho, next month namaliza yule msichana ananitafuta saaaanaa!! Anajua karibu nakula shavu! HIVI KUNA MTU ABOVE AGE 25 HAJAWAHI KUUMIZWA????/ WHAT IS YOUR STORY???
 
1.uwe makini katika kuchagua marafiki.
2.kila mtu alishaumizwa saaaaaaaaaaaana tu.
 
There is one couple I know, they are about between 70-75 yrs old now.Mwanaume hajawahi kumuumiza mke wake hata siku moja toka amuoe.
na huyo mwanamke alitafutiwa na wazazi wake. toka alivyokabidhiwa siku ya ndoa, mpaka leo hajawahi hata kumkonyeza mwanamke wa nje.
kwahiyo huyo mwanamke aliyeolewa hajawahi kuumizwa, ila sijui kwa upande wa mwanamke kama alishawahi kumuumiza mume wake.
 
Kila moja ana story nyingi sana ya maumivu ya mapenzi!Inauma na inaumiza sana!Ebu usinikumbushe kwanza!Ngoja nilie kidogo,then ntarudi baadaye
 
looooooo it is so sady...........sina kumbukubu ya siku niliyopata afadhali aiseeeeeee yale matundu ya vidonda bado yapo na ndio sababu ya mm kutokuwa na mpenzi maalum, ila mungu anisaidie nimpate mpenzi nitakayemuoa na nikiweza kumpata atakayefunika kumbukumbu zile nafunga ukurasa wa mahusiano
 
There is one couple I know, they are about between 70-75 yrs old now.Mwanaume hajawahi kumuumiza mke wake hata siku moja toka amuoe. na huyo mwanamke alitafutiwa na wazazi wake. toka alivyokabidhiwa siku ya ndoa, mpaka leo hajawahi hata kumkonyeza mwanamke wa nje. kwahiyo huyo mwanamke aliyeolewa hajawahi kuumizwa, ila sijui kwa upande wa mwanamke kama alishawahi kumuumiza mume wake.
Hata mimi babu yangu na bibi yangu hawajawahi kuumizana na wanazaidi ya miaka sabini.
 
kuumizwa kupo, hata mwl. Nyerere kuna kipindi fulani nae aliumizwa. Nadhani twaitaji kuwa makini ktk kufanya machaguzi ya wapenzi pia kuassess mwenendo wa tabia za wapenzi wetu. KUUMIZWA KTK MAPENZI NI DESTURI...
 
World's full of suprises. You only need to be focused and positive, make love part of ur life n not ur life. A girl i dated 4 five yrs, took her to college, was ****in with her classmate, now she is pregnant. I opted to move on.
 
'inauma sana mpnz wangu ampenda sana rafiki yangu...mama yooo mama yoooo' au 'siwemaaaa,ucnipe mateso ya moyo..nlidhan nimepata mpnz wa kweliiii..kumbe nmepatkana na mambo ya ajabuu...' au 'nackitka sanaaaaa..ametoroshwa mpnz wangu..' au 'nafc yangu nlikupa ui2nze mpnz starehe za dunia zkakuchanganya,mapnz ukasalit na ukanikanaaa,dunia ikaniandama,kuwa nawe tena haitowezekana mpnz nshampata ambaye tunapendana majeraha makubwa yenye uadui moyoni mi nmeshamwachia Maulana' na nyimbo nyingine kibao ambazo znaongelea maumivu ya mapnz...zaid ndo mana Juliana alimsema,"maumiiivu ya mapenzi naogopa sana" maumivu haya yanaweza kukugeuza kichaa,hasa pale unayempenda kwa dhati akusalitpo huku ukishuhudia kwa popoo mbili zavuka mto...ni vgumu 2 stand again after bng hurt bt with God by our syd,we get da courage of going on with lyf....
 
Aisee umenikumbusha mbali kinoma.nilivyotoswa nilikunywa sana otherwise ningedata.ilikuwa kila nikilala namuota yeye na mshkaji aliyeniibia
 
Nilipoumizwa revange yangu sitamani kutenda hivyo tena kwani mwenza wangu nusu ajiue - ilikuwa aibu ile mbaya. Wacha kabisa.
 
Mh!acha niwe mkweli tu,mi nilipoingia chuo mwaka wa 1,ARU,mpenzi wangu alijiunga chuo cha mzumbe.Ukweli ni kwamba huyu binti nilitokea kumpenda kupindukia lakini yeye ndo alianza kunitongoza nikaingia line,usicheke.Lakini mara baada ya kutenganishwa na vyuo,mapenzi yake yakawa bariidi,nikipiga simu yuko busy,nikituma sms anajibu after 2 days.Huku nalia kwa uchungu,nilimmwaga kabla yeye hajafikia hatua ya kunimwaga,lakini wanawake hawaeleweki,nilibadili mpaka namba ya simu,lakini ananifuatilia mpaka Facebook eti ooh shetani,tusahau yaliyopita turudiane,jamani!.
 
mmmh..asilimia kubwa washawahi kuumizwa c unajua tna unampenda mtu ambaye ana akili yake,miongozo yake na preferences zake pia.
 
Back
Top Bottom