hivi nyie usiku wa manane huwa mnafanya nini mlioko TZ? ama ndo mambo yetu ya kupepea na Ungo :cheer2:
Ah, mi nilikua zangu humu JF. Sijui wengine walikua wapi.jamani@mwali ndo nini natamani kuvichomoa hapo kwenye screen ninywee chai
Mi nilipata usingizi just as you were posting this.
Wewe ulilala saa ngapi?
hivi nyie usiku wa manane huwa mnafanya nini mlioko TZ? ama ndo mambo yetu ya kupepea na Ungo :cheer2:
Oh, I slept just after my message to PJ.
Unantaka?
Afu mwaga moram basi pale Bamboo, yale mashimo yanakwangua kwakwa zangu
Nikutake mara ngapi?
Nimwage moram kwani mi meya wa manispaa?
Hujambo lakini?
Kazi ya supu ya pweza unaijua? Utahimili?Mie mzima
Lile dimbwi la maji linaniuzia kufurahia supu yangu
Njoo leo nikununulie supu ya pweza
Mwali nimekuiita..............Duh! pole sana...
Kazi ya supu ya pweza unaijua? Utahimili?