Umenena vyema mkuuKwenye swala la kuchezea mpira na kuburudisha Gaucho ana mpinzani.....lakini katika kucheka na nyavu akuna Fundi atayetokea kumzidi Ronaldo de lima
Aisee ingekua bongo watu wangemuulza Mganga wake n nani.. maana daaah kama uchawi vileAiseeeee kwa sie tuliozaliwa miaka ya 80 gaucho ni dunia nyingine
Acha kumfananisha Gaucho na wapita njia aiseeAisee Gaucho ni hatari kama Kichuya vile