Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,472
- 25,395
A- Ronaldo de lima
B-Christiano Ronaldo
C-Ronaldinho Gaucho
Leo nataka tumalize ubishi tusibakishe kitu
Yupi fundi zaidi hapo?
Nani anafuata?
Yupi wa mwisho katika hii list?
We bashite nn?Messi
Gaucho ni noma asee. Cheki balaa yake hapa
Ronaldinho amewahi kuwa mchezaji bora wa dunia kama mara 3 hivi kama sikoseiKatika dunia hii ni mchezaji bora mmoja tu ambaye hajawahi kuwa mchezaji bora wa dunia (RONALDINHO).