Nani fundi zaidi hapa?

Nani fundi zaidi hapa?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,652
Screenshot_2017-03-04-12-28-40_1.jpg


A- Ronaldo de lima

B-Christiano Ronaldo

C-Ronaldinho Gaucho

Leo nataka tumalize ubishi tusibakishe kitu
Yupi fundi zaidi hapo?

Nani anafuata?

Yupi wa mwisho katika hii list?
 
Aisee Gaucho ni hatari kama Kichuya vile
 
Mleta mada,, achana na huyo namba "C" ni balaa. Usimlinganishe na vitu vya kijinga.
 
Ronaldinho gaucho is the futbol god najivunia kumshuhudia alipokua kwny ubora wake
 
Katika dunia hii ni mchezaji bora mmoja tu ambaye hajawahi kuwa mchezaji bora wa dunia (RONALDINHO).
 
Back
Top Bottom