Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

Wana jf nimekaa nikawa nina waza sana kuwa ni mtu gani atafaa kuwa waziri mkuu ktk serikali ya magufuri. Ambae itaifanya combination ya serikali ichape kazi vzr leteni suggestion zenu wakuu

kati ya mzee majuto au wema sepetu mmoja wapo anafaa sana kuwa waziri mkuu ajaye wa nchi yetu hii. haya ndiyo maoni yangu mkuu na yapokee kwa mikono miwili.
 
Naona kuna dalili kuwa Asharose Migiro ndiye waziri mkuu, ila akimchagua Migiro atakuwa amefanya kosa kubwa sana sana na tunachotegemea kwa Magufuli hatutakiona.
Me napendekeza Mwanrey, Mwakyembe
 
Maskud kipanya

Anafaa sana aogopi upuuzi wa serika...
 
Wakikosaa kabsaa wampe

Marundee.....
 
Wana jf nimekaa nikawa nina waza sana kuwa ni mtu gani atafaa kuwa waziri mkuu ktk serikali ya magufuri. Ambae itaifanya combination ya serikali ichape kazi vzr leteni suggestion zenu wakuu
Akishachaguliwa Ndio Tutaju, Au Kma Ni Mawazo Leta Majina. Alafu Sijui Kma Akichaguliwa Atakua Mchapakaz Au Atalewa Madaraka???!!!! Wapi Sugu??
 
Aliyefanyiwa fitina kwenye urais, na EL ndiye anaibukia kwenye U PM!! na hata magufuri lazima atalipa fadhira tu kwa jamaa, japo ki uharisia alitakiwa amlipe El, kwani bila kundi la EL, huo urais angeusikia tu, ila kwakuwa system haimutaka jamaa, mnufaikaji mkubwa lazima atakuwa membe tu!! na akiwa membe wapambe wote wa EL, watakaokuwa wabunge wasitegemee uwaziri kabisa. Yaani hapa wa tz, tutakuwa hatujabadilisha kitu, ni nyani mpya ila msitu ule ule.
 
Kama atawekwa Harrison Mwakyembe itakuwa safi sana! Au basi hata samwel sitta sio mbaya sana! Kwenye vijana akimweka Deogratius Filikunjombe itakuwa nzuri!

Asije akarogwa akamuweka Bernard Membe ataharibu kabisa sababu ataanzisha makundi na visasi Kama Edward Lowassa,

Aachane kabisa na hawa jamaa wa kikwete yeye aanze mwanzo na sura mpya kabisa itakuwa nzuri sana!

Haachane na undugu nization, urafiki na favouritism Kama kikwete ataharibu kabisa! Zile sura za kizamani hasizipe kipaumbele kabisa maana watu wamesha wachoka! Wakina Wassira, kawambwa, muhongo, mwamri, makamba n. k.
 
Wana jf nimekaa nikawa nina waza sana kuwa ni mtu gani atafaa kuwa waziri mkuu ktk serikali ya magufuri. Ambae itaifanya combination ya serikali ichape kazi vzr leteni suggestion zenu wakuu

Kuna watu wanaota.... Kwa akili yako unafkiri Magufuli anaweza kuwashinda Ukawa.... Anyway subiri kesho dira za siasa Nchini zinabadilika
 
pinda!!!!
 
lowasa hawezi kumshinda magufuli hata siku moja,si upo....

hata slaa hawezi kufua dafu,nachokushauri jitahidi kuweka akiba huto tu hela unatopata toka kwa fisadi lowasa kwani baada ya oktoba mlija utakata..
 
Punguza papara kijana, muda ukifika utamjua tuu haraka ya nini?
 
lowasa hawezi kumshinda magufuli hata siku moja,si upo....

hata slaa hawezi kufua dafu,nachokushauri jitahidi kuweka akiba huto tu hela unatopata toka kwa fisadi lowasa kwani baada ya oktoba mlija utakata..
Mlija wa fedha za lowassa ulishakatwa kaka muda sasa
 
Kuna watu wanaota.... Kwa akili yako unafkiri Magufuli anaweza kuwashinda Ukawa.... Anyway subiri kesho dira za siasa Nchini zinabadilika
We unawazungumzia Ukawa gani? Kama ni hao naowajua mimi umoja wao ulishavunjika kisa na mkasa ni uchu wa madaraka kati ya Dr. Slaa na Prof. Lipumba sasa wanawezaje kushindana na Tingatinga a.k.a jembe?
 
Back
Top Bottom