gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 962
Wana JF, nimekaa nikawa nina waza sana kuwa ni mtu gani atafaa kuwa waziri mkuu ktk serikali ya magufuri. Ambae itaifanya combination ya serikali ichape kazi .
Leteni suggestion zenu wakuu
Leteni suggestion zenu wakuu
Katika social forums zote ni habari za kuponda kukashifu na kubeza maamuzi ya CCM na mwelekeo wa UKAWA kuelekea kutangaza mshika bendera!
MY POINT!
Iwe isiwe tuwepo tusiwepo lazima tupate rais 2015! iwe kutka CCM au UKAWA!
Kwa kuwa mpaka sasa ni CCM tu ambao wqmetangaza mshika bendera, sisi wana maficho kwenye social media tujadili sasa serikali tarajiwa ya MAGUFULI na baadae UKAWA wakitangqza wao tuanze kujqdili serikqli ya hyo mwenye matumaini yao huyo!
Mimi ninavyona AKIFANIKIWA KUCHUKUA NJI tinga tinga awe na serikal hii...
PM- Lukuvi/Mwakyembe
Madini-Makamba
Ajira-mimi (mbunge wa kuteuliwa)
Fedha- Nchemba
Ujenzi- Mpina
Uchukuzi- Filikunjombe
Ulinzi- Lugola
Afya- Kebwe
Utumishi- Mwanri
Wagombea hawa pia wanaangaliaga nao mitandao kupata ushauri siyo wakute negation tupu mitandaoni.
nawasilisha