Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

Hahitaji waziri mkuu, huyu anaweza kuendesha wizara zote peke yake. Tungependa ajaze wasukuma kwenye wizara zote
 
membe ameshaachana na siasa refer gazeti la THE CITIZEN mkuu
 
Hatuna sababu ya kufikiri waziri mkuu wa mtu ambae atashindwa vibaya ktk uchaguzi mkuu. Badili hoja.
 
Kuna mtu mmoja wengi hamfahamu anaitwa mawe 3 a.k.a Charles Kitwanga. Yule jamaa ni visionary leader
 
Ni dhahiri sasa kuwa kitendo cha madiwani wote wa Lowassa kuhamia chadema ina maana kuwa moshi mweupe wa ukombozi sasa umehamia chadema rasmi na kuondoka mikononi mwa 'KITENGO' ambacho hakimtaki rais kutoka kaskazini!

Hivyo, tunawasihi popote pale mlipo wafuasi wa Edward Lowassa tuungane wote kwa pamoja tukaimbe wimbo wa ukombozi ndani ya Chadema!

Mfuasi yeyote wa Lowassa atakayebaki katika chama cha kitengo sio mwenzetu, wote tumehamia rasmi chadema!
Karibuni sana tuimbe nyimbo za ukombozi, tuwaache ccm waimbe nyimbo za 'kitengo'!

Viva UKawa, viva Chadema!

napata mashaka na ushabiki webu juu ya lowasa.majitu na familia zao nayo yanamfatisha mwanaume mwenzao
 
Katika social forums zote ni habari za kuponda kukashifu na kubeza maamuzi ya CCM na mwelekeo wa UKAWA kuelekea kutangaza mshika bendera!
MY POINT!

Iwe isiwe tuwepo tusiwepo lazima tupate rais 2015! iwe kutka CCM au UKAWA!

Kwa kuwa mpaka sasa ni CCM tu ambao wqmetangaza mshika bendera, sisi wana maficho kwenye social media tujadili sasa serikali tarajiwa ya MAGUFULI na baadae UKAWA wakitangqza wao tuanze kujqdili serikqli ya hyo mwenye matumaini yao huyo!

Mimi ninavyona AKIFANIKIWA KUCHUKUA NJI tinga tinga awe na serikal hii...

PM.... Lukuvi/Mwakyembe

Madini....Makamba

Ajira....mimi (mbunge wa kuteuliwa)

Fedha....Nchemba

Ujenzi....Mpina

Uchukuzi....Filikunjombe

Ulinzi....Lugola

Afya....Kebwe

Utumishi...Mwanri

Wagombea hawa pia wanaangaliaga nao mitandao kupata ushauri siyo wakute negation tupu mitandaoni.

nawasilisha
 
ongezea
Habari.... Le Mutuz
Jinsia na Watoto.... Wema Sepetu
Mambo ya nje .... Mange Kimambi
 
Muhongo-nishati na madini
Kamara-A.mashariki
Migiro-Mambo ya ughaibuni
 
Waziri mkuu:mrisho ngassa
Waziri qa ujenzi:shomari kapombe
Waziri wa mambo ya nje:george maratoooooooooo
Waziri wa wanawake jinsia na watoto:jakaya mrisho
Waziri wa afya ray c
Mkuu wa mkoa wa dar charles boniface mkwassa
 
Na sasa tuanze kupanga serikali ya ukawa itakavyokua
 
Back
Top Bottom